GE2025 Wasira aliyetumikia toka enzi za Mwl. Nyerere Hadi Samia anamshangaa Mpina wa miaka 20

GE2025 Wasira aliyetumikia toka enzi za Mwl. Nyerere Hadi Samia anamshangaa Mpina wa miaka 20

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Magufuli 05

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2023
Posts
1,990
Reaction score
3,824
Hii ni maajabu.

Wakati Mzee wasira anayasema haya kwamba anamshangaa Mpina kulalamika kukatwa wakati ametumikia Jimbo la kisesa kwa miaka 20 hivyo muda ulifika aachie wengine.

Na Cha kushangaza waliokuwepo kwenye huo mkutano walipiga makofi. Niliwashangaa ni vipi walishindwa kujiuliza kwamba wasira Hana hiyo legitimacy ya kuongea hayo.

Wasira amekuwa mtumishi toka enzi za Mwalimu Nyerere Hadi Leo. Mbona yeye hajaachia wengine?

Aiseee. Shame on you Mzee
 
Back
Top Bottom