Pre GE2025 Wasira ameupata Ubunge akiwa na miaka 23 leo ana miaka 80. Nini hajafanya Tanzania mpaka apewe umakamu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Nawauliza CCM Stephen Wassira Nini hajafanya Tanzania kuanzia akiwa mbunge kwa umri wa miaka 23 mpaka Leo ana miaka 80 Bado anakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM? Hizi ni zalau

Vijana mlio kusanyika Dodoma kweli mkienda kumchagua Wasira for your future or kwa ajili ya wazee wenzie?

Soma Pia: Stephen Wassira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

Real Samia Suluhu Hassani kabisa umekubali kumteua Wasira mwandishi wa ilani kuwa Makamu?

Hivi Samia utapata wapi nguvu za kumtuma Mzee wa kikurya akazunguke nchi nzima kuubiri kazi iendelee?
 
Wako sahihi kwa kilichofanyika,hii nchi imejaaa chekechea na vilaza shazi,lini nchi hii ikawa na watu wenye kujitambua njaa+akili robo unafikiri Kuna mabadiliko????Taifa haliwezi kubadilika kwa kutegemea akili za Watu waliozeeka,coz huongoza katika mfumo wa ndoto😭😭😭😭😭😭😭
 
Kwenye hili wamebugi kitambo sana
Nawauliza CCM Stephen Wassira Nini hajafanya Tanzania kuanzia akiwa mbunge kwa umri wa miaka 23 mpaka Leo ana miaka 80 Bado anakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM? Hizi ni zalau

Vijana mlio kusanyika Dodoma kweli mkienda kumchagua Wasira for your future or kwa ajili ya wazee wenzie?

Soma Pia: Stephen Wassira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

Real Samia Suluhu Hassani kabisa umekubali kumteua Wasira mwandishi wa ilani kuwa Makamu?

Hivi Samia utapata wapi nguvu za kumtuma Mzee wa kikurya akazunguke nchi nzima kuubiri kazi iendelee?
 
Aisee jamaa alikua anajua sana mpka kupewa ubunge na umri 23 zama hizi sijui kama inawezekana
 
Nawauliza CCM Stephen Wassira Nini hajafanya Tanzania kuanzia akiwa mbunge kwa umri wa miaka 23 mpaka Leo ana miaka 80 Bado anakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM? Hizi ni zalau

Vijana mlio kusanyika Dodoma kweli mkienda kumchagua Wasira for your future or kwa ajili ya wazee wenzie?

Soma Pia: Stephen Wassira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

Real Samia Suluhu Hassani kabisa umekubali kumteua Wasira mwandishi wa ilani kuwa Makamu?

Hivi Samia utapata wapi nguvu za kumtuma Mzee wa kikurya akazunguke nchi nzima kuubiri kazi iendelee?
1737229532727.jpg
 
Ushaisikia misemo ya mwambao yakhe?

... 'Nyumba inajengwa huku kaburi linachimbwa'...

Kama wao ni wapagani hawana dini, basi wasome biblia kama 'novo' wajue binadamu miaka yake ya lazima ya kuishi ni mingapi, miaka ya nyongeza na upendeleo ni mingapi?

Vyote mtu ashafuta, bado anapewa tu mavyeo!

Nadhani Ccm kuna tatizo pahala.
 
Hajafanya umakamu
Nawauliza CCM Stephen Wassira Nini hajafanya Tanzania kuanzia akiwa mbunge kwa umri wa miaka 23 mpaka Leo ana miaka 80 Bado anakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM? Hizi ni zalau

Vijana mlio kusanyika Dodoma kweli mkienda kumchagua Wasira for your future or kwa ajili ya wazee wenzie?

Soma Pia: Stephen Wassira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

Real Samia Suluhu Hassani kabisa umekubali kumteua Wasira mwandishi wa ilani kuwa Makamu?

Hivi Samia utapata wapi nguvu za kumtuma Mzee wa kikurya akazunguke nchi nzima kuubiri kazi iendelee?
 
Nawauliza CCM Stephen Wassira Nini hajafanya Tanzania kuanzia akiwa mbunge kwa umri wa miaka 23 mpaka Leo ana miaka 80 Bado anakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM? Hizi ni zalau

Vijana mlio kusanyika Dodoma kweli mkienda kumchagua Wasira for your future or kwa ajili ya wazee wenzie?

Soma Pia: Stephen Wassira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

Real Samia Suluhu Hassani kabisa umekubali kumteua Wasira mwandishi wa ilani kuwa Makamu?

Hivi Samia utapata wapi nguvu za kumtuma Mzee wa kikurya akazunguke nchi nzima kuubiri kazi iendelee?

Usiache pia kumwuliza aliyekula kona mdahalo jana. Kuwa nini bado mzee?
 
Nawauliza CCM Stephen Wassira Nini hajafanya Tanzania kuanzia akiwa mbunge kwa umri wa miaka 23 mpaka Leo ana miaka 80 Bado anakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM? Hizi ni zalau

Vijana mlio kusanyika Dodoma kweli mkienda kumchagua Wasira for your future or kwa ajili ya wazee wenzie?

Soma Pia: Stephen Wassira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

Real Samia Suluhu Hassani kabisa umekubali kumteua Wasira mwandishi wa ilani kuwa Makamu?

Hivi Samia utapata wapi nguvu za kumtuma Mzee wa kikurya akazunguke nchi nzima kuubiri kazi iendelee?
Vijana wenyewe ndio hao machawa, akina Mwashambwa; Talalila, Choicevariable, kweli unatarajia hao wateiwe na wafanye chochote cha maana?

Wanaona ahwri wateue vikongwe kuliko vijana machawa wasuonitambua.
 
Back
Top Bottom