Pre GE2025 Wasira atupa vijembe kwa CHADEMA, adai wakienda ikulu watagawana hadi vikombe

Pre GE2025 Wasira atupa vijembe kwa CHADEMA, adai wakienda ikulu watagawana hadi vikombe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wasira atupa vijembe kwa CHADEMA adai hawajashika dola lakini wanagombana na kushikana mashati je wakipelekwa ikulu si watagawana hadi vikombe?
Soma Pia:
 
Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wasira atupa vijembe kwa CHADEMA adai hawajashika dola lakini wanagombana na kushikana mashati je wakipelekwa ikulu si watagawana hadi vikombe?
View attachment 3211210
YEYE ANAKUBALI KILICHOFANYIKA DODOMA?

KWANINI TUMERUHUSU WATU WA HIVI KUONGEA?
 
Mzee wasira anazeeka vibaya tukisema kua SISI VIJANA NDIO BADO TUNA HATMA ZETU NYINGI KULIKO HUYU MZEE MWENYE MIAKA 80.

Nimepatwa na jazba gafla Hawa wazee wakizeeka akili ZAO Zina UNDERGO RETARDATION

Mtu Kama wasira anaweza kua na upeo gani wa kuona miaka 20 mbele anawezaje kuwa brainy ya CCM wazee Kama Hawa ndio huleta siasa za maji taka.
 
Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wasira atupa vijembe kwa CHADEMA adai hawajashika dola lakini wanagombana na kushikana mashati je wakipelekwa ikulu si watagawana hadi vikombe?
View attachment 3211210
Huyu mzee anakuja na kauli za kitoto namna hii badala ya kutuambia watafanya nini kwa wàtanzania?
Hiki kizee sijui kama bado kina msaada kwa nchi.
 
Back
Top Bottom