Pre GE2025 Wasira atupa vijembe kwa CHADEMA, adai wakienda ikulu watagawana hadi vikombe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Zee la hovyo katika ubora wake!!
 
Kama Wasira ana HOJA, zijibiwe.

Mfano, kuhusu kugombana kwa hoja,

Ile ndio DEMOKRASIA, kushikana masharti ni kuchangamka Kwa HOJA, bunge la uingereza pia joto hupanda na kufikia Hali hiyo,

Sasa CCM DEMOKRASIA hiyo hamna.
 

Attachments

  • Gorille_des_plaines_de_l'ouest_à_l'Espace_Zoologique.jpg
    167.6 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…