Mbaya wa vijana na wananchi kwa ujumla ni CCM yenyewe. Mjikane kwanza...Naona CCM wanaendelea kukazia kwamba vijana tulilipwa na NGO's kufanya maandamano mbona hawasemi walipora uchaguzi na kuuwa wenzetu
------------
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Stephen Wasira, amewataka vijana kutokubali kutumiwa kuhatarisha amani ya nchi kwa kivuli cha kudai haki zao.
Amesema kuna baadhi ya taasisi zisizo za kiserikali zinazowahonga vijana kwa fedha ili kuwashawishi kufanya vurugu, huku zikijificha nyuma ya madai ya kutetea haki.
Wasira amesema hayo leo, Jumatatu Desemba 1, 2025, katika mahafali ya 10 ya chuo hicho, Kampasi ya Zanzibar, yaliyofanyika Bububu, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Amesisitiza kuwa haki haiwezi kupatikana kwa kuvuruga amani ya nchi, badala yake kufanya hivyo kunaweza kusababisha watu kupoteza hata haki za msingi ikiwemo ya kuishi.
Wasira ameongeza kuwa vijana wanapaswa kulinda amani iliyopo ili waweze kupata haki wanazozitaka kwa njia sahihi.
"Nchi hii haina hati miliki ya mtu, ipo kwa ajili ya Watanzania wote, kwa maana hiyo kila mmoja ana wajibu wa kuitunza amani hiyo na vijana msikubali kutumika vibaya," amesema Wasira
Soma pia PostGE2025 - Wasira: Haki inadaiwa kwa amani na si kuchoma nchi
Chanzo: Mwananchi_official
Hii takataka ni chukizo mbele za Mungu na wanadamu.Naona CCM wanaendelea kukazia kwamba vijana tulilipwa na NGO's kufanya maandamano mbona hawasemi walipora uchaguzi na kuuwa wenzetu
------------
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Stephen Wasira, amewataka vijana kutokubali kutumiwa kuhatarisha amani ya nchi kwa kivuli cha kudai haki zao.
Amesema kuna baadhi ya taasisi zisizo za kiserikali zinazowahonga vijana kwa fedha ili kuwashawishi kufanya vurugu, huku zikijificha nyuma ya madai ya kutetea haki.
Wasira amesema hayo leo, Jumatatu Desemba 1, 2025, katika mahafali ya 10 ya chuo hicho, Kampasi ya Zanzibar, yaliyofanyika Bububu, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Amesisitiza kuwa haki haiwezi kupatikana kwa kuvuruga amani ya nchi, badala yake kufanya hivyo kunaweza kusababisha watu kupoteza hata haki za msingi ikiwemo ya kuishi.
Wasira ameongeza kuwa vijana wanapaswa kulinda amani iliyopo ili waweze kupata haki wanazozitaka kwa njia sahihi.
"Nchi hii haina hati miliki ya mtu, ipo kwa ajili ya Watanzania wote, kwa maana hiyo kila mmoja ana wajibu wa kuitunza amani hiyo na vijana msikubali kutumika vibaya," amesema Wasira
Soma pia PostGE2025 - Wasira: Haki inadaiwa kwa amani na si kuchoma nchi
Chanzo: Mwananchi_official
Hajajifunza makazi yake yalivyosalimiwa?Naona CCM wanaendelea kukazia kwamba vijana tulilipwa na NGO's kufanya maandamano mbona hawasemi walipora uchaguzi na kuuwa wenzetu
------------
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Stephen Wasira, amewataka vijana kutokubali kutumiwa kuhatarisha amani ya nchi kwa kivuli cha kudai haki zao.
Amesema kuna baadhi ya taasisi zisizo za kiserikali zinazowahonga vijana kwa fedha ili kuwashawishi kufanya vurugu, huku zikijificha nyuma ya madai ya kutetea haki.
Wasira amesema hayo leo, Jumatatu Desemba 1, 2025, katika mahafali ya 10 ya chuo hicho, Kampasi ya Zanzibar, yaliyofanyika Bububu, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Amesisitiza kuwa haki haiwezi kupatikana kwa kuvuruga amani ya nchi, badala yake kufanya hivyo kunaweza kusababisha watu kupoteza hata haki za msingi ikiwemo ya kuishi.
Wasira ameongeza kuwa vijana wanapaswa kulinda amani iliyopo ili waweze kupata haki wanazozitaka kwa njia sahihi.
"Nchi hii haina hati miliki ya mtu, ipo kwa ajili ya Watanzania wote, kwa maana hiyo kila mmoja ana wajibu wa kuitunza amani hiyo na vijana msikubali kutumika vibaya," amesema Wasira
Soma pia PostGE2025 - Wasira: Haki inadaiwa kwa amani na si kuchoma nchi
Chanzo: Mwananchi_official
Tafsiri yao ya amani, ni kwamba waachiwe kuibagaza nchi bila kubughudhiwa na yoyoteWatawala wanaitumia amani vibaya kutesa Wananchi.
Mwananchi anatoa maoni kwa njia ya amani unamkamata unamtendea unavyojua.
Mwananchi anapinga ufisadi kwa amani unamkamata.
BILA KUPEPESA MANENO AMANI YA TANZANIA INAWANUFAISHA ZAIDI MAFISADI, WEZI NA WAUAJI.
Namna hii wanazidi kupamdisha hasira za hawa vijana. Bora wangemyamaza tu. Maana hawa vijana wanawaona mnawadharau kwa kuwaona wajinga na jawajitambui.Naona CCM wanaendelea kukazia kwamba vijana tulilipwa na NGO's kufanya maandamano mbona hawasemi walipora uchaguzi na kuuwa wenzetu
------------
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Stephen Wasira, amewataka vijana kutokubali kutumiwa kuhatarisha amani ya nchi kwa kivuli cha kudai haki zao.
Amesema kuna baadhi ya taasisi zisizo za kiserikali zinazowahonga vijana kwa fedha ili kuwashawishi kufanya vurugu, huku zikijificha nyuma ya madai ya kutetea haki.
Wasira amesema hayo leo, Jumatatu Desemba 1, 2025, katika mahafali ya 10 ya chuo hicho, Kampasi ya Zanzibar, yaliyofanyika Bububu, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Amesisitiza kuwa haki haiwezi kupatikana kwa kuvuruga amani ya nchi, badala yake kufanya hivyo kunaweza kusababisha watu kupoteza hata haki za msingi ikiwemo ya kuishi.
Wasira ameongeza kuwa vijana wanapaswa kulinda amani iliyopo ili waweze kupata haki wanazozitaka kwa njia sahihi.
"Nchi hii haina hati miliki ya mtu, ipo kwa ajili ya Watanzania wote, kwa maana hiyo kila mmoja ana wajibu wa kuitunza amani hiyo na vijana msikubali kutumika vibaya," amesema Wasira
Soma pia PostGE2025 - Wasira: Haki inadaiwa kwa amani na si kuchoma nchi
Chanzo: Mwananchi_official
Akawaambie na wasiojulikana waache kutekaNaona CCM wanaendelea kukazia kwamba vijana tulilipwa na NGO's kufanya maandamano mbona hawasemi walipora uchaguzi na kuuwa wenzetu