Pre GE2025 Wasira: CCM nia yetu ni kuwapatia Wananchi maisha mazuri, huwezi kuwa na nchi watu wanatembea uchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Mzee Stephen Wasira anasema nia ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kuwapatia Wananchi Maisha mazuri, huwezi kuwa na nchi watu wanatembea uchi.

Soma, Pia: Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo halafu Watanzania waamue, adai CHADEMA kwasasa imekatika

"Sisi, CCM sera yetu ya ki-socialist, nia yetu kubwa ni kwamba Wananchi wapate maisha mazuri zaidi na maisha mazuri unaweza kuyapata kwa mambo matano. kwanza tunataka kila mtu apate chakula cha kutosha, pili tunataka ikifika mahala mtu ajijengee nyumba na sisi tunamwekea umeme, na sisi tunaongoza katika Afrika kwa kusambaza umeme maana vijiji vyote vya Tanzania vina umeme...."

Huyu Mzee anatutafuta maneno huyu!!

MIAKA 61 YA UHURU MNAONGEA PUMBA ZILE ZILE
 
Wangekuwa wakali na serious kwenye Taifa kama ambavyo wanakipigania Chama chao kubaki madarakaini, Taifa lingekuwa mbali sana kimaendeleo.
 
Sawa Babu wa mamababu
 
Attachments

  • FB_IMG_1738686918387.jpg
    FB_IMG_1738686918387.jpg
    35 KB · Views: 2
Huyu mzee. Yaani ni mkorofiiii. Kwasababu hana cha kupoteza. Anajua yupo dakika za jiooooni, kwa hiyo msameheni bure tu.
 
Back
Top Bottom