Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Mzee Stephen Wasira anasema nia ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kuwapatia Wananchi Maisha mazuri, huwezi kuwa na nchi watu wanatembea uchi.
Soma, Pia: Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo halafu Watanzania waamue, adai CHADEMA kwasasa imekatika
"Sisi, CCM sera yetu ya ki-socialist, nia yetu kubwa ni kwamba Wananchi wapate maisha mazuri zaidi na maisha mazuri unaweza kuyapata kwa mambo matano. kwanza tunataka kila mtu apate chakula cha kutosha, pili tunataka ikifika mahala mtu ajijengee nyumba na sisi tunamwekea umeme, na sisi tunaongoza katika Afrika kwa kusambaza umeme maana vijiji vyote vya Tanzania vina umeme...."