well done makamu mwenyekiti wa CCM taifa kwa kusema ukweli mtupu 🔥Akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa na Nijuze Julai 22, 2026, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema mchakato wa maridhiano ya kitaifa hauhusu CHADEMA pekee bali unalenga jamii nzima ya Watanzania na makundi mbalimbali
Ameongeza kuwa vyama vya siasa vikiwemo CCM na CHADEMA ni sehemu tu ya taifa na wala havina idadi inayofika hata nusu ya Watanzania wote milioni 60, hivyo kuna haja ya kushirikisha makundi yote ya kijamii ili kufikia maridhiano ya kudumu yatakayolinda umoja na uhai wa taifa.
"Sijui kama mimi naridhika kuwasemea CHADEMA. Lakini wao wanachosema, wanasema wao hawataki maridhiano na wanafikiri wao ndio tunataka kuridhiana nao. Sasa kupitia kwako niwaambie tu, sisi tunataka kuridhiana na jamii yote, na CHADEMA ni sehemu tu ya jamii, Kama sisi tulivyo sehemu ya jamii."
Huu uongo enzi za viswaswadu ungekuwa umeenda viral na kupenya vilivyo kwenye mioyo ya watu wengi mno!. Smatifoni bana!Akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa na Nijuze Julai 22, 2026, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema mchakato wa maridhiano ya kitaifa hauhusu CHADEMA pekee bali unalenga jamii nzima ya Watanzania na makundi mbalimbali
Ameongeza kuwa vyama vya siasa vikiwemo CCM na CHADEMA ni sehemu tu ya taifa na wala havina idadi inayofika hata nusu ya Watanzania wote milioni 60, hivyo kuna haja ya kushirikisha makundi yote ya kijamii ili kufikia maridhiano ya kudumu yatakayolinda umoja na uhai wa taifa.
"Sijui kama mimi naridhika kuwasemea CHADEMA. Lakini wao wanachosema, wanasema wao hawataki maridhiano na wanafikiri wao ndio tunataka kuridhiana nao. Sasa kupitia kwako niwaambie tu, sisi tunataka kuridhiana na jamii yote, na CHADEMA ni sehemu tu ya jamii, Kama sisi tulivyo sehemu ya jamii."
Mzee Wassira ni political deadwood.Akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa na Nijuze Julai 22, 2026, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema mchakato wa maridhiano ya kitaifa hauhusu CHADEMA pekee bali unalenga jamii nzima ya Watanzania na makundi mbalimbali
Ameongeza kuwa vyama vya siasa vikiwemo CCM na CHADEMA ni sehemu tu ya taifa na wala havina idadi inayofika hata nusu ya Watanzania wote milioni 60, hivyo kuna haja ya kushirikisha makundi yote ya kijamii ili kufikia maridhiano ya kudumu yatakayolinda umoja na uhai wa taifa.
"Sijui kama mimi naridhika kuwasemea CHADEMA. Lakini wao wanachosema, wanasema wao hawataki maridhiano na wanafikiri wao ndio tunataka kuridhiana nao. Sasa kupitia kwako niwaambie tu, sisi tunataka kuridhiana na jamii yote, na CHADEMA ni sehemu tu ya jamii, Kama sisi tulivyo sehemu ya jamii."
Chadema wakitaka wataenda kwenye maridhiano wasipotaka wasiende, lakini maridhiano yataendelea,siyo ya vyama vya siasaWe sokwe elewa hii, bila CHADEMA hakuna maridhiano!.
Watakachosema ndicho kitakachotokea...gafla amesahau NO REFORMS NO ELECTION!.
Kila mwenye akili timamu anajua tarehe 29 oct hakukuwa na uchaguzi mkuu hapa nchini!.
Huna akili kama sio ya vyama vya siasa ni ya nani na nani?, vyama vya siasa ndio watanzania wenyewe!!, vyama vya siasa vinawakilisha wananchi...Chadema wakitaka wataenda kwenye maridhiano wasipotaka wasiende, lakini maridhiano yataendelea,siyo ya vyama vya siasa
Mkuu wewe ni Pohamba?Chadema wakitaka wataenda kwenye maridhiano wasipotaka wasiende, lakini maridhiano yataendelea,siyo ya vyama vya siasa
Uko sahihi, hayo maridhiano yanayotakiwa kufanywa na ccm ni ya hadaa, na cdm inafahamika haitakuwa tayari kwa maridhiano ya hadaa. Hivyo ccm hawataki cdm wawepo maana wanajua cdm ni kama jini lililotoka kwenye chupa.Chadema wakitaka wataenda kwenye maridhiano wasipotaka wasiende, lakini maridhiano yataendelea,siyo ya vyama vya siasa
Mh Heche Ongeza Moto by TL July 2026Akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa na Nijuze Julai 22, 2026, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema mchakato wa maridhiano ya kitaifa hauhusu CHADEMA pekee bali unalenga jamii nzima ya Watanzania na makundi mbalimbali