Wasira: CHADEMA wanasema hawataki maridhiano, wanafikiri wao ndio tunataka kuridhiana nao

Mkuu wewe ni Pohamba?

Nakumbuka naye alikua ni mtu anayeonekana kujua mengi ila hakuisha kuandika ujinga humu...

Kuna wakati alidiriki kumfananisha Kikwete na Nyerere...

Ndio wewe? Maana mambo mengi mnafanana.
Alikosea kumlinganisha kikwete na Nyerere,ni watu tofauti
Mmoja dikteta mwingine siyo,mmoja aliwatia dhiki watu aliowaongoza wakati mwingine alitamani wajae neema na nafuu ya maisha,mmoja hakutaka uhuru wa habari media zikawa zinamtukuza na kumgeuza Mungu mtu, mwingine alikua champion wa uhuru wa habari aliamini hoja haipigwi rungu,mmoja wasomi wake waliua mashirika ya umma mwingine wasomi wake wanaendesha makampuni kwa mafanikio
 
Ok ni wewe...

Sawa.
 
Kweli aisee
 
Chadema wakitaka wataenda kwenye maridhiano wasipotaka wasiende, lakini maridhiano yataendelea,siyo ya vyama vya siasa
Sasa mbona hamfanyi maridhiano bila chadema mnasubiri nn we chawa?!.

Wenye akili humo ccm washajua chadema ina influence kubwa kwa wananchi wengi ZAIDI ya chama chochote cha siasa hapa Tz, ukiacha ulaghai wa ccm wa kuwapa watu pesa kuwashawishi!.
Na miaka ya karibuni wananchi pesa wanazila na bado wamewakataa dadek!.
 
Akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa na Nijuze Julai 22, 2026, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema mchakato wa maridhiano ya kitaifa hauhusu CHADEMA pekee bali unalenga jamii nzima ya Watanzania na makundi mbalimbali

Ameongeza kuwa vyama vya siasa vikiwemo CCM na CHADEMA ni sehemu tu ya taifa na wala havina idadi inayofika hata nusu ya Watanzania wote milioni 60, hivyo kuna haja ya kushirikisha makundi yote ya kijamii ili kufikia maridhiano ya kudumu yatakayolinda umoja na uhai wa taifa.

"Sijui kama mimi naridhika kuwasemea CHADEMA. Lakini wao wanachosema, wanasema wao hawataki maridhiano na wanafikiri wao ndio tunataka kuridhiana nao. Sasa kupitia kwako niwaambie tu, sisi tunataka kuridhiana na jamii yote, na CHADEMA ni sehemu tu ya jamii, Kama sisi tulivyo sehemu ya jamii."

Mzee Wassira ameonesha kwanini Wazee ni Hazina na kwanini CCM inawaamini Wazee kwenye nafasi nyeti! Kongole kwa Mzee Wassira! Kongole kwa CCM!
 
Alikosea kumlinganisha kikwete na Nyerere,ni watu tofauti
Mmoja dikteta mwingine siyo,mmoja aliwatia dhiki watu aliowaongoza wakati mwingine alitamani wajae neema na nafuu ya maisha,mmoja hakutaka uhuru wa habari media zikawa zinamtukuza na kumgeuza Mungu mtu, mwingine alikua champion wa uhuru wa habari aliamini hoja haipigwi rungu,mmoja wasomi wake waliua mashirika ya umma mwingine wasomi wake wanaendesha makampuni kwa mafanikio
Umesahau point ya msingi.. mmoja alikuwa mzalendo wa mali za umma mwingine alikuwa fisadi
 
Back
Top Bottom