gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Alikosea kumlinganisha kikwete na Nyerere,ni watu tofautiMkuu wewe ni Pohamba?
Nakumbuka naye alikua ni mtu anayeonekana kujua mengi ila hakuisha kuandika ujinga humu...
Kuna wakati alidiriki kumfananisha Kikwete na Nyerere...
Ndio wewe? Maana mambo mengi mnafanana.
Ok ni wewe...Alikosea kumlinganisha kikwete na Nyerere,ni watu tofauti
Mmoja dikteta mwingine siyo,mmoja aliwatia dhiki watu aliowaongoza wakati mwingine alitamani wajae neema na nafuu ya maisha,mmoja hakutaka uhuru wa habari media zikawa zinamtukuza na kumgeuza Mungu mtu, mwingine alikua champion wa uhuru wa habari aliamini hoja haipigwi rungu,mmoja wasomi wake waliua mashirika ya umma mwingine wasomi wake wanaendesha makampuni kwa mafanikio
Kweli aiseeAlikosea kumlinganisha kikwete na Nyerere,ni watu tofauti
Mmoja dikteta mwingine siyo,mmoja aliwatia dhiki watu aliowaongoza wakati mwingine alitamani wajae neema na nafuu ya maisha,mmoja hakutaka uhuru wa habari media zikawa zinamtukuza na kumgeuza Mungu mtu, mwingine alikua champion wa uhuru wa habari aliamini hoja haipigwi rungu,mmoja wasomi wake waliua mashirika ya umma mwingine wasomi wake wanaendesha makampuni kwa mafanikio
We endelea na ramliOk ni wewe...
Sawa.
SahihiCCM ikitoka madarakani ndio maridhiano yafanyike wakiwa nje ya madaraka
Hayo maovu na ccm ni kama mwili na damu. Hayawezi kuondoka ccm ikiwepoHuku mtaan watu wamechoka kuibiwa kura, utekaji, ufisadi
Sasa mbona hamfanyi maridhiano bila chadema mnasubiri nn we chawa?!.Chadema wakitaka wataenda kwenye maridhiano wasipotaka wasiende, lakini maridhiano yataendelea,siyo ya vyama vya siasa
Mzee Wassira ameonesha kwanini Wazee ni Hazina na kwanini CCM inawaamini Wazee kwenye nafasi nyeti! Kongole kwa Mzee Wassira! Kongole kwa CCM!Akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa na Nijuze Julai 22, 2026, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema mchakato wa maridhiano ya kitaifa hauhusu CHADEMA pekee bali unalenga jamii nzima ya Watanzania na makundi mbalimbali
Ameongeza kuwa vyama vya siasa vikiwemo CCM na CHADEMA ni sehemu tu ya taifa na wala havina idadi inayofika hata nusu ya Watanzania wote milioni 60, hivyo kuna haja ya kushirikisha makundi yote ya kijamii ili kufikia maridhiano ya kudumu yatakayolinda umoja na uhai wa taifa.
"Sijui kama mimi naridhika kuwasemea CHADEMA. Lakini wao wanachosema, wanasema wao hawataki maridhiano na wanafikiri wao ndio tunataka kuridhiana nao. Sasa kupitia kwako niwaambie tu, sisi tunataka kuridhiana na jamii yote, na CHADEMA ni sehemu tu ya jamii, Kama sisi tulivyo sehemu ya jamii."
Kile chama cha kuzuia ukatili wa wanyama (TSPCA)hivi bado kipo? Waingilie kati huyu kiumbe arudishwe kwenye makazi yake ya asili kule hifadhi ya Gombe.Huyu arudishwe Gombe
Aliwahi kuhama CCM kwenda nccr kama sikosei.Mzee Wassira ni political deadwood.
Na hakuwahi kuwa kinara wa siasa hata miaka ya Mwalimu.
Ukitoa neno "sikosei" unakuwa sahihi sana.Aliwahi kuhama CCM kwenda nccr kama sikosei.
Umesahau point ya msingi.. mmoja alikuwa mzalendo wa mali za umma mwingine alikuwa fisadiAlikosea kumlinganisha kikwete na Nyerere,ni watu tofauti
Mmoja dikteta mwingine siyo,mmoja aliwatia dhiki watu aliowaongoza wakati mwingine alitamani wajae neema na nafuu ya maisha,mmoja hakutaka uhuru wa habari media zikawa zinamtukuza na kumgeuza Mungu mtu, mwingine alikua champion wa uhuru wa habari aliamini hoja haipigwi rungu,mmoja wasomi wake waliua mashirika ya umma mwingine wasomi wake wanaendesha makampuni kwa mafanikio
Hapo sasa...Sasa si waridhiane na wanaotaka kurudhiana nao.
Wanasubiri nini?
Sasa mnasubiri nini ..???Chadema wakitaka wataenda kwenye maridhiano wasipotaka wasiende, lakini maridhiano yataendelea,siyo ya vyama vya siasa