Akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), STephen Wasira, amesema
"Sasa, nimjibu bwana wa UDASA. Maana bwana wa UDASA ametuonea kidogo. Yeye anasema mtu akisema kwa niaba ya mambo wanayotaka wananchi, anashughulikiwa. Sio kweli. Na wewe kwa kuwa ni msomi, na wasomi wana sifa moja kubwa ya kufanya utafiti. Utafiti ni sehemu muhimu ya usomi. Usipotafiti utasema chochote tu, utakuwa kama mitandao ya kijamii ambayo haina control.
Lakini hakuna aliyesema kwa niaba ya wananchi akaondolewa kwa sababu ya... hata sisi CCM sisi ni sehemu ya wananchi. Kwani sisi CCM sisi malaika? Sisi wananchi. Unasema anasema kwa niaba ya wananchi wapi?