Mbona Nchimbi ameondolewa?Akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), STephen Wasira, amesema
"Sasa, nimjibu bwana wa UDASA. Maana bwana wa UDASA ametuonea kidogo. Yeye anasema mtu akisema kwa niaba ya mambo wanayotaka wananchi, anashughulikiwa. Sio kweli. Na wewe kwa kuwa ni msomi, na wasomi wana sifa moja kubwa ya kufanya utafiti. Utafiti ni sehemu muhimu ya usomi. Usipotafiti utasema chochote tu, utakuwa kama mitandao ya kijamii ambayo haina control.
Lakini hakuna aliyesema kwa niaba ya wananchi akaondolewa kwa sababu ya... hata sisi CCM sisi ni sehemu ya wananchi. Kwani sisi CCM sisi malaika? Sisi wananchi. Unasema anasema kwa niaba ya wananchi wapi?
Warioba jomboni bunda.Huyu mzee alikimbizwa na nini CCM miaka ile?
Akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), STephen Wasira, amesema
"Sasa, nimjibu bwana wa UDASA. Maana bwana wa UDASA ametuonea kidogo. Yeye anasema mtu akisema kwa niaba ya mambo wanayotaka wananchi, anashughulikiwa. Sio kweli. Na wewe kwa kuwa ni msomi, na wasomi wana sifa moja kubwa ya kufanya utafiti. Utafiti ni sehemu muhimu ya usomi. Usipotafiti utasema chochote tu, utakuwa kama mitandao ya kijamii ambayo haina control.
Lakini hakuna aliyesema kwa niaba ya wananchi akaondolewa kwa sababu ya... hata sisi CCM sisi ni sehemu ya wananchi. Kwani sisi CCM sisi malaika? Sisi wananchi. Unasema anasema kwa niaba ya wananchi wapi?
Kwa bahat mbaya sana mzee wetu yupo kati ya mwaka 1995 na 2000 na wengine wapo mwaka 2026 hapo anaongea mambo na akili za miaka ya 1995s anahis watu hawaoni na hakuna mitandao ,anahis mitandao inapaswa kubezwa na Haina maana yeyote ,sasa badili yake yy ndo anabezwa Kwa akili zake ,Kwan Nan ambaye hakuona pole pole akipotea,? Nan ambaye hakuona lissu aliposema mambo ya makaa ya mawe yanavyo toroshwa inchin naye alikamatwa ? Nchimbi aliposema kuhusu katiba yupo wap? Nan ambaye haoni mzee?Akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), STephen Wasira, amesema
"Sasa, nimjibu bwana wa UDASA. Maana bwana wa UDASA ametuonea kidogo. Yeye anasema mtu akisema kwa niaba ya mambo wanayotaka wananchi, anashughulikiwa. Sio kweli. Na wewe kwa kuwa ni msomi, na wasomi wana sifa moja kubwa ya kufanya utafiti. Utafiti ni sehemu muhimu ya usomi. Usipotafiti utasema chochote tu, utakuwa kama mitandao ya kijamii ambayo haina control.
Lakini hakuna aliyesema kwa niaba ya wananchi akaondolewa kwa sababu ya... hata sisi CCM sisi ni sehemu ya wananchi. Kwani sisi CCM sisi malaika? Sisi wananchi. Unasema anasema kwa niaba ya wananchi wapi?
Mpuuzi kweli. Halijui hata tofauti ya sheria na haki.Kwa bahat mbaya sana mzee wetu yupo kati ya mwaka 1995 na 2000 na wengine wapo mwaka 2026 hapo anaongea mambo na akili za miaka ya 1995s anahis watu hawaoni na hakuna mitandao ,anahis mitandao inapaswa kubezwa na Haina maana yeyote ,sasa badili yake yy ndo anabezwa Kwa akili zake ,Kwan Nan ambaye hakuona pole pole akipotea,? Nan ambaye hakuona lissu aliposema mambo ya makaa ya mawe yanavyo toroshwa inchin naye alikamatwa ? Nchimbi aliposema kuhusu katiba yupo wap? Nan ambaye haoni mzee?
Mimi namuunga mkono mzee Wasira.Akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), STephen Wasira, amesema