Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
wapo kwenye shinikizo kubwa sana kutoka kwa wanao wakopesha.Mwanasiasa mkongwe ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema kuwa katika siasa za ulimwengu hakuna njia za mkato za kuleta amani isipokuwa maridhiano na kuzungumza.
Katika mahojiano maalumu na TBC, Wasira amesema kuwa jambo hilo linatekelezwa na serikali kupitia mpango maalumu wa 4R ulionzishwa na Rais Samia Suluhu Hassan huku asisitiza kuwa maridhiano ni hatua muhimu ya kupata katiba mpya.
Aidha, ameongeza kuwa maridhiano yaliyofanyika kati ya Chama cha ACT Wazalendo na CCM yataleta manufaa makubwa nchini ikiwemo kuondoa tofauti za kisiasa pamoja na kuleta umoja na mshikamano.
Kwanza Act na Ccm kufanya maridhiano ni kutupumbaza tu maana wale ni Kulwa na Doto tu4R ni ni political maneuvering tu ya kupunguza kelele za wapinzani, tusidanganyane hapa.
WasiraMwanasiasa mkongwe ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema kuwa katika siasa za ulimwengu hakuna njia za mkato za kuleta amani isipokuwa maridhiano na kuzungumza.
Katika mahojiano maalumu na TBC, Wasira amesema kuwa jambo hilo linatekelezwa na serikali kupitia mpango maalumu wa 4R ulionzishwa na Rais Samia Suluhu Hassan huku asisitiza kuwa maridhiano ni hatua muhimu ya kupata katiba mpya.
Aidha, ameongeza kuwa maridhiano yaliyofanyika kati ya Chama cha ACT Wazalendo na CCM yataleta manufaa makubwa nchini ikiwemo kuondoa tofauti za kisiasa pamoja na kuleta umoja na mshikamano.
Mkumbukeni Polepole alichosema. Wataenda kwenye uchaguzi bila kuwasiliza wakichamaliza uchaguzi watawalazimisha kuingia kwenye maridhiano kama danganya toto. Mkishaingia tu kwenye hayo maridhiano fake basi mmekwishaMwanasiasa mkongwe ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema kuwa katika siasa za ulimwengu hakuna njia za mkato za kuleta amani isipokuwa maridhiano na kuzungumza.
Katika mahojiano maalumu na TBC, Wasira amesema kuwa jambo hilo linatekelezwa na serikali kupitia mpango maalumu wa 4R ulionzishwa na Rais Samia Suluhu Hassan huku asisitiza kuwa maridhiano ni hatua muhimu ya kupata katiba mpya.
Aidha, ameongeza kuwa maridhiano yaliyofanyika kati ya Chama cha ACT Wazalendo na CCM yataleta manufaa makubwa nchini ikiwemo kuondoa tofauti za kisiasa pamoja na kuleta umoja na mshikamano.
Uko sahihi kabisa, na tusiwe wasahaulifu, kule Zanzibar wako meza moja kwenye serikali ya umoja wa kitaifa wanakula keki ya taifa pamoja halafu huku bara wanatuletea maigizo ya maridhiano ili iweje yani?Kwanza Act na Ccm kufanya maridhiano ni kutupumbaza tu maana wale ni Kulwa na Doto tu
Ukigonga Mtutu watu wote wanatulia na Amani inatawala utulivu unadumuMwanasiasa mkongwe ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema kuwa katika siasa za ulimwengu hakuna njia za mkato za kuleta amani isipokuwa maridhiano na kuzungumza.
Katika mahojiano maalumu na TBC, Wasira amesema kuwa jambo hilo linatekelezwa na serikali kupitia mpango maalumu wa 4R ulionzishwa na Rais Samia Suluhu Hassan huku asisitiza kuwa maridhiano ni hatua muhimu ya kupata katiba mpya.
Aidha, ameongeza kuwa maridhiano yaliyofanyika kati ya Chama cha ACT Wazalendo na CCM yataleta manufaa makubwa nchini ikiwemo kuondoa tofauti za kisiasa pamoja na kuleta umoja na mshikamano.
Mazungumzo waliyakataa kabla ya October 29, 2025 yalipokuwa na maana (na yalipohitajika) zaidi. Sasa hivi wanataka yafanyike ili iweje, kama sio kusafisha ujambazi wao?Mwanasiasa mkongwe ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema kuwa katika siasa za ulimwengu hakuna njia za mkato za kuleta amani isipokuwa maridhiano na kuzungumza.
Katika mahojiano maalumu na TBC, Wasira amesema kuwa jambo hilo linatekelezwa na serikali kupitia mpango maalumu wa 4R ulionzishwa na Rais Samia Suluhu Hassan huku asisitiza kuwa maridhiano ni hatua muhimu ya kupata katiba mpya.
Aidha, ameongeza kuwa maridhiano yaliyofanyika kati ya Chama cha ACT Wazalendo na CCM yataleta manufaa makubwa nchini ikiwemo kuondoa tofauti za kisiasa pamoja na kuleta umoja na mshikamano.
Ni fully maigizo tu wanaiona kama watoto wa chekecheaUko sahihi kabisa, na tusiwe wasahaulifu, kule Zanzibar wako meza moja kwenye serikali ya umoja wa kitaifa wanakula keki ya taifa pamoja halafu huku bara wanatuletea maigizo ya maridhiano ili iweje yani?
well done Stephene Wasira kwa kueleza ukweli kwenye jambo hilo muhimu sana kwa ustawi wa taifa letuMwanasiasa mkongwe ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema kuwa katika siasa za ulimwengu hakuna njia za mkato za kuleta amani isipokuwa maridhiano na kuzungumza.
Katika mahojiano maalumu na TBC, Wasira amesema kuwa jambo hilo linatekelezwa na serikali kupitia mpango maalumu wa 4R ulionzishwa na Rais Samia Suluhu Hassan huku asisitiza kuwa maridhiano ni hatua muhimu ya kupata katiba mpya.
Aidha, ameongeza kuwa maridhiano yaliyofanyika kati ya Chama cha ACT Wazalendo na CCM yataleta manufaa makubwa nchini ikiwemo kuondoa tofauti za kisiasa pamoja na kuleta umoja na mshikamano.
Huyu mzee alisemaMwanasiasa mkongwe ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema kuwa katika siasa za ulimwengu hakuna njia za mkato za kuleta amani isipokuwa maridhiano na kuzungumza.
Katika mahojiano maalumu na TBC, Wasira amesema kuwa jambo hilo linatekelezwa na serikali kupitia mpango maalumu wa 4R ulionzishwa na Rais Samia Suluhu Hassan huku asisitiza kuwa maridhiano ni hatua muhimu ya kupata katiba mpya.
Aidha, ameongeza kuwa maridhiano yaliyofanyika kati ya Chama cha ACT Wazalendo na CCM yataleta manufaa makubwa nchini ikiwemo kuondoa tofauti za kisiasa pamoja na kuleta umoja na mshikamano.
Akazungumze na mamake wafikie hayo maridhiano.Mwanasiasa mkongwe ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema kuwa katika siasa za ulimwengu hakuna njia za mkato za kuleta amani isipokuwa maridhiano na kuzungumza.
Katika mahojiano maalumu na TBC, Wasira amesema kuwa jambo hilo linatekelezwa na serikali kupitia mpango maalumu wa 4R ulionzishwa na Rais Samia Suluhu Hassan huku asisitiza kuwa maridhiano ni hatua muhimu ya kupata katiba mpya.
Aidha, ameongeza kuwa maridhiano yaliyofanyika kati ya Chama cha ACT Wazalendo na CCM yataleta manufaa makubwa nchini ikiwemo kuondoa tofauti za kisiasa pamoja na kuleta umoja na mshikamano.
Ilikuwa hatua Muhimu kabla ya uchaguzi 2025, na wadau wengi walishauri hivyo.Wasira amesema kuwa jambo hilo linatekelezwa na serikali kupitia mpango maalumu wa 4R ulionzishwa na Rais Samia Suluhu Hassan huku asisitiza kuwa maridhiano ni hatua muhimu ya kupata katiba mpya.