Wasira: Hakuna njia ya mkato ya kuleta maridhiano isipokuwa mazungumzo

Kumbe bado yupo
 
Katika mahojiano maalumu na TBC, Wasira amesema kuwa jambo hilo linatekelezwa na serikali kupitia mpango maalumu wa 4R ulionzishwa na Rais Samia Suluhu Hassan huku asisitiza kuwa maridhiano ni hatua muhimu ya kupata katiba mpya.
Wazee wastaafu wa serikali waliopo ndani chama dola kongwe akiwemo Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, Jakaya Kikwete, Dr. Asha-Rose Migiro, Aggrey Mwanri n.k wanatakiwa wasiwe wanafiki wajifunze kuacha legasi yenye heshima baada ya Samia kuichafua Tanzania kwa mauaji ya 29 Oktoba 2025

22 March 2024
General Abdulsalami Abubakar: A Mediator & Bridge Builder | Festschrift Documentary

View: https://m.youtube.com/watch?v=-VqpNAiJZCI
Welcome to a captivating documentary on General Abdulsalami A. Abubakar: A Mediator and Bridge Builder.

This insightful film captures the essence of a remarkable event held at the Hawthorn Suites by Wyndham in Abuja, Nigeria.

The Abdulsalami Abubakar Institute for Peace and Sustainable Development Studies (AAIPSDS) organized a festschrift in honour of General Abdulsalami A. Abubakar, GCFR, CSG, celebrating his profound legacy as a mediator and bridge builder.

Join us as we delve into these discussions and presentations that highlight the significant impact and contributions of General Abdulsalami A. Abubakar in fostering peace and stability in Africa and beyond.Don't forget to like, comment, and subscribe for more inspiring content!

Source : Abdulsalami Abubakar Institute for Peace
 
Mazungumzo na CCM bila mtu wa kati hayatekelezeki .
 
Umoja na mshikamano na ccm !? My foot!
 
Tunakumbuka vyema kabisa Pole pole alisema mtafanya ujinga wenu Kisha mje na hoja ya maridhiano. Wananchi tumekataa
 
Mazungumzo na CCM bila mtu wa kati hayatekelezeki .
Tena huyo mtu wa kati awe ni mwenye CV kubwa kimataifa..Jamaa ni janja janja sana na huwa hawanaga SONI wala HAYA linapokuja suala la MADARAKA
 
Tunakumbuka vyema kabisa Pole pole alisema mtafanya ujinga wenu Kisha mje na hoja ya maridhiano. Wananchi tumekataa
Jamaa angekuwepo uraiani baada ya mauaji ya Oktoba 29, sipati picha hayo mabomu ambayo angeyarusha. Hakika aliwajua jamaa zake wa mbogamboga.
 
Tunakumbuka vyema kabisa Pole pole alisema mtafanya ujinga wenu Kisha mje na hoja ya maridhiano. Wananchi tumekataa
Wao haja Yao ni kuchelewesha mambo, na kuwa vúrugu , ili ikifika wakati wa uchaguzi , wawe juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…