tungatagaga
Senior Member
- Aug 18, 2024
- 187
- 225
Utamhukumu vipi kuwa kafeli wakati hakupewa mtihani na kuufanya.Semeni maneno ya haki.Tujiulize kwa kina hawa chadema na kiongozi wao, NI KIPI KIPYA WANAWEZA KUTULETEA KATIKA TAIFA LETU? /OBVIOUSLY HAKUNA!, ZAIDI YA GHASIA TU.
Mkutano ulioudhuriwa na kuongozwa na mashoga ndiyo uliopitisha jina la Wasira kuwa Makamo M/kiti.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa Tanzania haitakubali kulazimishwa kuiga tamaduni za mataifa ya Magharibi, ikiwemo ndoa za jinsia moja, na kusisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza kwa ridhaa ya Watanzania kuepuka mambo hayo.
Akizungumza Januari 29, 2025, katika mkutano wa hadhara mkoani Geita kuelekea Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM, Wasira amesema kuna njama za baadhi ya watu aliowaita ‘vibaraka’ kutaka kupenyeza ajenda za mataifa ya nje, ikiwemo kuhalalisha ndoa za jinsia moja, jambo ambalo CCM haitakubali.
"Wanatumia vibaraka wao, wanataka utamaduni wao utawale mawazo yetu? Mpaka wanafikia mahali wanataka wanaume waoane na wanawake waoane kwa wanawake, hao ndio walio na vibaraka wao ndani ya Tanzania ambao wanasema tumekaa sana, tumewachelewesha wanaume kuoana maana hatukubaliani nao," amesema Wasira.
Aidha, amezungumzia madai kuwa CCM imekaa madarakani muda mrefu na kusema kuwa chama hicho kimeendelea kuleta maendeleo makubwa nchini, ikiwa ni pamoja na kupanua elimu kwa watoto wa Tanzania.
"Tulidai uhuru kwa sababu tulikuwa na ajenda ya maendeleo na mabadiliko ambayo wakoloni walishindwa kuyaleta. Leo tuna mamilioni ya watoto wanasoma, tena tunasomesha watoto wetu wote. Asilimia kubwa ya watoto wa Tanzania wanakwenda shule. Huko Geita walipoondoka hakukuwa na hata sekondari moja, leo zinafikia 90 zilizojengwa ndani ya miaka minne. Ni nani kama Rais Samia Suluhu Hassan?" amehoji Wasira.
Soma, Pia: Wasira: Hatukatai mazungumzo, lakini hatuwezi kuamrishwa, asisitiza sera ya Samia ya 4R
Amesisitiza kuwa CCM itaendelea kushikilia madaraka kwa kuwa inaungwa mkono na wananchi na si kwa makubaliano na taifa lolote la nje.
"Tunawaambia hatukuwa na mkataba na mtu, tupo hapa kwa idhini ya Watanzania na sisi tutaendelea kuwepo, hatuna mpango wa kutoka madarakani," amesisitiza.
Hizo ndo kauli zinaoendwa huko ccm. Hawapo tayari kusikia hoja za kina LissuHuyu Wasira ,mambo yatamtokea puani mtu mzima anatukana mitusi ukweli kiwango cha busara cha huyu mkubwa ni kidogo sana
Nilitegemea atoa hiya za kiutu uzima ukweli namukumbuka Kinana alikuwa na akili kubwa aliuma na kupuliza aliwasemea wapinzani
Sasa huyu babu Wasira anaonesha hasira za kabila lake la kukata wanawake masikio
Hanahoja ,anatukana tu basi
CCC oneni munavyotuletea Mamba Mzee sijui lengo lenu nini ?
Aliwa kinga ngumi bungeni apigane
Huyu halandani na Mwl Nyerere hatakidogo achilia mbali uhendisome busara ndio kabisa sifuri
Dogo,Tujiulize kwa kina hawa chadema na kiongozi wao, NI KIPI KIPYA WANAWEZA KUTULETEA KATIKA TAIFA LETU? /OBVIOUSLY HAKUNA!, ZAIDI YA GHASIA TU.
Lissu ni mtetezi wa mashoga, amejitanabaisha kwa hilo.CCM inaishi kwa kutegemea dola na propaganda.
Umenena vyema MkuuNgoma sasa imeanza kunoga. Nukuu toka kwa Injini Kubwa, "Mashoga, vibaka na vibaraka wa mabeberu wanataka uraisi wa nchi yetu eti wakamate dola yetu! Haiwezekani, ikulu wataiona kwenye luninga tu",
Hiyo ndiyo mipasho iliyoshiba ya kisiasa yenye ukweli inavyopaswa kuwa kwenye kampeni za uchaguzi. Siyo matusi kama yale ya Tundu Lissu na vijana wake waliyokuwa wanamporomoshea Mzee wao (Mbowe) na timu yake hadi kukipasua chama chao.
Vijana wa upande ule wa vibaraka wamekuwa wakiwadhihaki na kutowaheshimu wazee wakisahau kwamba hawa ndiyo waliowazaa na kuwalea hadi hapo walipofikia. Ni baba zao na mama zao. Wanasema eti wazee (over 60 years) hawana thamani hivyo wanapaswa wapumzishwe kusubiri kifo kwani wameshakikaribia. Vijana hawa hawajui kwamba takwimu za vifo za kila siku hospitalini zinaonesha vifo vingi ni vya watoto na vijana.
Vijana hawa wa vibaraka wanasema etiwazee wamepitwa na wakati. Hawa vijana wakati walipokuwa hawapo duniani hawa wazee walikuwepo. Hawa vijana walipokuwepo hapa duniani hawa wazee nao walikuwepo. Sasa ni nani aliyepitwa na wakati kama siyo hawa vijana kwani hawa wazee wamekuwepo nyakati zote? Ndiyo maana kwa mfano kwenye timu za mpira makocha wengi wa timu huwa ni wazee na wachezaji (front liners) ni vijana chini ya umri wa miaka 30. Kwenye vita majenerali ni wazee na waliomstari wa mbele ni vijana chini ya miaka 35. Trump, raisi wa America ana umri wa miaka 79 sawa tu na wa Bw. Wasira, makamu wa mwenyekiti wa ccm. Putin rais wa Urusi na yule rais wa China umri wao ni 75+ years. Hao ni viongozi wakuu wa nchii kubwa kuliko zingine zote duniani. Sasa hoja ya kumpumzisha Wasira inatoka wapi kama siyo kwa wenye upungufu wa akili mwilini mwao (UAKIMWI)?
NB: Ngoma ya CCM ndiyo imeanza kuelekea October 2025. Wasira kaanza mindundo (rhythm). Kaanza ku test mitambo. Punde vijana wao kama akina Makonda, Polepole na wengine wengi tu (wakiwemo walioiasi chadema) wataingia frontline kuicheza hiyo ngoma hadi raha. Huko msitari wa nyuma Wasira ataongezewa nguvu na watu kama akina Jakaya Kikwete etc Wakati ngoma inaendelea kunoga huo upande wa vibaraka watakuwa wanahangaika kuunganisha ngoma yao waliyoipasua na kutafuta pesa kutoka kwa mabeberu wao za kuwezesha kucheza hiyo ngoma. Ruzuku yao itakuwa imekoma kwani bunge litakuwa limevunjwa. Kwanza ruzuku yenyewe ni kidogo sana, haitoshi kulipa hata mishahara ya secretariat yao. Watabaki wakiimba wimbo wao pendwa wa no reform no election hadi mwisho wa uchaguzi mkuu. That will be their end.
🚮Ngoma sasa imeanza kunoga. Nukuu toka kwa Injini Kubwa, "Mashoga, vibaka na vibaraka wa mabeberu wanataka uraisi wa nchi yetu eti wakamate dola yetu! Haiwezekani, ikulu wataiona kwenye luninga tu",

Mkuu rafiki yako Dr Kapuya unaeshirikiana nae kwenye NGO yenu kutusambazia ushoga hapa nchini unadhani hatuwajui? Sasa wewe na Wasiria mnataka kutudanganya kama manaichukia kile mnachokifanya kwa nyuma ya pazia?Tanzania inatambua jinsia mbili tu, yaani wanawake na wanaume, /haya mambo ya haki za kifaragha hatuta thubutu, kukubaliana nayo wayapeleke hukohuko Ubelgiji!.
Huyo mtu ni mwenyekiti wa haki faragha kanda ya kusini mwa Afrika na tuzo ameshapewa!Mkuu rafiki yako Dr Kapuya unaeshirikiana nae kwenye NGO yenu kutusambazia ushoga hapa nchini unadhani hatuwajui? Sasa wewe na Wasiria mnataka kutudanganya kama manaichukia kile mnachokifanya kwa nyuma ya pazia?
Dada Zuhura Yunusu alikuwa anafanya nini kile na Boss!! In Mange Kimambi voiceLissu ni mtetezi wa mashoga, amejitanabaisha kwa hilo.
Biashara yako na bwana Kapuya umaacha? Tuwaachie watoto wetu wapate amani...ccm mafedhuli kweli, analalamika mwenye serikali kama ujinga ni kitu gani.Huyo mtu ni mwenyekiti wa haki faragha kanda ya kusini mwa Afrika na tuzo ameshapewa!
Mabeberu leo, kesho wawekezaji na wahisani.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa Tanzania haitakubali kulazimishwa kuiga tamaduni za mataifa ya Magharibi, ikiwemo ndoa za jinsia moja, na kusisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza kwa ridhaa ya Watanzania kuepuka mambo hayo.
Akizungumza Januari 29, 2025, katika mkutano wa hadhara mkoani Geita kuelekea Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM, Wasira amesema kuna njama za baadhi ya watu aliowaita ‘vibaraka’ kutaka kupenyeza ajenda za mataifa ya nje, ikiwemo kuhalalisha ndoa za jinsia moja, jambo ambalo CCM haitakubali.
"Wanatumia vibaraka wao, wanataka utamaduni wao utawale mawazo yetu? Mpaka wanafikia mahali wanataka wanaume waoane na wanawake waoane kwa wanawake, hao ndio walio na vibaraka wao ndani ya Tanzania ambao wanasema tumekaa sana, tumewachelewesha wanaume kuoana maana hatukubaliani nao," amesema Wasira.
Aidha, amezungumzia madai kuwa CCM imekaa madarakani muda mrefu na kusema kuwa chama hicho kimeendelea kuleta maendeleo makubwa nchini, ikiwa ni pamoja na kupanua elimu kwa watoto wa Tanzania.
"Tulidai uhuru kwa sababu tulikuwa na ajenda ya maendeleo na mabadiliko ambayo wakoloni walishindwa kuyaleta. Leo tuna mamilioni ya watoto wanasoma, tena tunasomesha watoto wetu wote. Asilimia kubwa ya watoto wa Tanzania wanakwenda shule. Huko Geita walipoondoka hakukuwa na hata sekondari moja, leo zinafikia 90 zilizojengwa ndani ya miaka minne. Ni nani kama Rais Samia Suluhu Hassan?" amehoji Wasira.
Soma, Pia: Wasira: Hatukatai mazungumzo, lakini hatuwezi kuamrishwa, asisitiza sera ya Samia ya 4R
Amesisitiza kuwa CCM itaendelea kushikilia madaraka kwa kuwa inaungwa mkono na wananchi na si kwa makubaliano na taifa lolote la nje.
"Tunawaambia hatukuwa na mkataba na mtu, tupo hapa kwa idhini ya Watanzania na sisi tutaendelea kuwepo, hatuna mpango wa kutoka madarakani," amesisitiza.
Huyu mzee hakuna kitu kabisa. Sasa hii ni ajenda ya kuibeba ccm?Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa Tanzania haitakubali kulazimishwa kuiga tamaduni za mataifa ya Magharibi, ikiwemo ndoa za jinsia moja, na kusisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza kwa ridhaa ya Watanzania kuepuka mambo hayo.
Akizungumza Januari 29, 2025, katika mkutano wa hadhara mkoani Geita kuelekea Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM, Wasira amesema kuna njama za baadhi ya watu aliowaita ‘vibaraka’ kutaka kupenyeza ajenda za mataifa ya nje, ikiwemo kuhalalisha ndoa za jinsia moja, jambo ambalo CCM haitakubali.
"Wanatumia vibaraka wao, wanataka utamaduni wao utawale mawazo yetu? Mpaka wanafikia mahali wanataka wanaume waoane na wanawake waoane kwa wanawake, hao ndio walio na vibaraka wao ndani ya Tanzania ambao wanasema tumekaa sana, tumewachelewesha wanaume kuoana maana hatukubaliani nao," amesema Wasira.
Aidha, amezungumzia madai kuwa CCM imekaa madarakani muda mrefu na kusema kuwa chama hicho kimeendelea kuleta maendeleo makubwa nchini, ikiwa ni pamoja na kupanua elimu kwa watoto wa Tanzania.
"Tulidai uhuru kwa sababu tulikuwa na ajenda ya maendeleo na mabadiliko ambayo wakoloni walishindwa kuyaleta. Leo tuna mamilioni ya watoto wanasoma, tena tunasomesha watoto wetu wote. Asilimia kubwa ya watoto wa Tanzania wanakwenda shule. Huko Geita walipoondoka hakukuwa na hata sekondari moja, leo zinafikia 90 zilizojengwa ndani ya miaka minne. Ni nani kama Rais Samia Suluhu Hassan?" amehoji Wasira.
Soma, Pia: Wasira: Hatukatai mazungumzo, lakini hatuwezi kuamrishwa, asisitiza sera ya Samia ya 4R
Amesisitiza kuwa CCM itaendelea kushikilia madaraka kwa kuwa inaungwa mkono na wananchi na si kwa makubaliano na taifa lolote la nje.
"Tunawaambia hatukuwa na mkataba na mtu, tupo hapa kwa idhini ya Watanzania na sisi tutaendelea kuwepo, hatuna mpango wa kutoka madarakani," amesisitiza.
Eti dr akili, duuu!Ngoma sasa imeanza kunoga. Nukuu toka kwa Injini Kubwa, "Mashoga, vibaka na vibaraka wa mabeberu wanataka uraisi wa nchi yetu eti wakamate dola yetu! Haiwezekani, ikulu wataiona kwenye luninga tu",