Pre GE2025 Wasira: Mabeberu na Vibaraka wao wanataka kuleta Ushoga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa Tanzania haitakubali kulazimishwa kuiga tamaduni za mataifa ya Magharibi, ikiwemo ndoa za jinsia moja, na kusisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza kwa ridhaa ya Watanzania kuepuka mambo hayo.

Akizungumza Januari 29, 2025, katika mkutano wa hadhara mkoani Geita kuelekea Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM, Wasira amesema kuna njama za baadhi ya watu aliowaita ‘vibaraka’ kutaka kupenyeza ajenda za mataifa ya nje, ikiwemo kuhalalisha ndoa za jinsia moja, jambo ambalo CCM haitakubali.

"Wanatumia vibaraka wao, wanataka utamaduni wao utawale mawazo yetu? Mpaka wanafikia mahali wanataka wanaume waoane na wanawake waoane kwa wanawake, hao ndio walio na vibaraka wao ndani ya Tanzania ambao wanasema tumekaa sana, tumewachelewesha wanaume kuoana maana hatukubaliani nao," amesema Wasira.

Aidha, amezungumzia madai kuwa CCM imekaa madarakani muda mrefu na kusema kuwa chama hicho kimeendelea kuleta maendeleo makubwa nchini, ikiwa ni pamoja na kupanua elimu kwa watoto wa Tanzania.

"Tulidai uhuru kwa sababu tulikuwa na ajenda ya maendeleo na mabadiliko ambayo wakoloni walishindwa kuyaleta. Leo tuna mamilioni ya watoto wanasoma, tena tunasomesha watoto wetu wote. Asilimia kubwa ya watoto wa Tanzania wanakwenda shule. Huko Geita walipoondoka hakukuwa na hata sekondari moja, leo zinafikia 90 zilizojengwa ndani ya miaka minne. Ni nani kama Rais Samia Suluhu Hassan?" amehoji Wasira.

Soma, Pia: Wasira: Hatukatai mazungumzo, lakini hatuwezi kuamrishwa, asisitiza sera ya Samia ya 4R

Amesisitiza kuwa CCM itaendelea kushikilia madaraka kwa kuwa inaungwa mkono na wananchi na si kwa makubaliano na taifa lolote la nje.

"Tunawaambia hatukuwa na mkataba na mtu, tupo hapa kwa idhini ya Watanzania na sisi tutaendelea kuwepo, hatuna mpango wa kutoka madarakani," amesisitiza.
Wassira angejikita kutuambia wana mikakati gani ya kuanzia kutengeneza ARV, kupunguza maambukizi ya HIV.

Kuweka gloves kwenye hospitality za uzazi za wajawazito, na mikakati gani ya kufanya nchi iache kuwa ombaomba, kukopa ovyo.
 
Ni vita ya wasira na Lissu
 
Wassira angejikita kutuambia wana mikakati gani ya kuanzia kutengeneza ARV, kupunguza maambukizi ya HIV.

Kuweka gloves kwenye hospitality za uzazi za wajawazito, na mikakati gani ya kufanya nchi iache kuwa ombaomba, kukopa ovyo.
Ila mwenyekiti wenu aendelee na harakati zake za haki faragha?
 
Ngoma sasa imeanza kunoga. Nukuu toka kwa Injini Kubwa, "Mashoga, vibaka na vibaraka wa mabeberu wanataka uraisi wa nchi yetu eti wakamate dola yetu! Haiwezekani, ikulu wataiona kwenye luninga tu",

Hiyo ndiyo mipasho iliyoshiba ya kisiasa yenye ukweli inavyopaswa kuwa kwenye kampeni za uchaguzi. Siyo matusi kama yale ya Tundu Lissu na vijana wake waliyokuwa wanamporomoshea Mzee wao (Mbowe) na timu yake hadi kukipasua chama chao.

Vijana wa upande ule wa vibaraka wamekuwa wakiwadhihaki na kutowaheshimu wazee wakisahau kwamba hawa ndiyo waliowazaa na kuwalea hadi hapo walipofikia. Ni baba zao na mama zao. Wanasema eti wazee (over 60 years) hawana thamani hivyo wanapaswa wapumzishwe kusubiri kifo kwani wameshakikaribia. Vijana hawa hawajui kwamba takwimu za vifo za kila siku hospitalini zinaonesha vifo vingi ni vya watoto na vijana.

Vijana hawa wa vibaraka wanasema etiwazee wamepitwa na wakati. Hawa vijana wakati walipokuwa hawapo duniani hawa wazee walikuwepo. Hawa vijana walipokuwepo hapa duniani hawa wazee nao walikuwepo. Sasa ni nani aliyepitwa na wakati kama siyo hawa vijana kwani hawa wazee wamekuwepo nyakati zote? Ndiyo maana kwa mfano kwenye timu za mpira makocha wengi wa timu huwa ni wazee na wachezaji (front liners) ni vijana chini ya umri wa miaka 30. Kwenye vita majenerali ni wazee na waliomstari wa mbele ni vijana chini ya miaka 35. Trump, raisi wa America ana umri wa miaka 79 sawa tu na wa Bw. Wasira, makamu wa mwenyekiti wa ccm. Putin rais wa Urusi na yule rais wa China umri wao ni 75+ years. Hao ni viongozi wakuu wa nchii kubwa kuliko zingine zote duniani. Sasa hoja ya kumpumzisha Wasira inatoka wapi kama siyo kwa wenye upungufu wa akili mwilini mwao (UAKIMWI)?

NB: Ngoma ya CCM ndiyo imeanza kuelekea October 2025. Wasira kaanza mindundo (rhythm). Kaanza ku test mitambo. Punde vijana wao kama akina Makonda, Polepole na wengine wengi tu (wakiwemo walioiasi chadema) wataingia frontline kuicheza hiyo ngoma hadi raha. Huko msitari wa nyuma Wasira ataongezewa nguvu na watu kama akina Jakaya Kikwete etc Wakati ngoma inaendelea kunoga huo upande wa vibaraka watakuwa wanahangaika kuunganisha ngoma yao waliyoipasua na kutafuta pesa kutoka kwa mabeberu wao za kuwezesha kucheza hiyo ngoma. Ruzuku yao itakuwa imekoma kwani bunge litakuwa limevunjwa. Kwanza ruzuku yenyewe ni kidogo sana, haitoshi kulipa hata mishahara ya secretariat yao. Watabaki wakiimba wimbo wao pendwa wa no reform no election hadi mwisho wa uchaguzi mkuu. That will be their end.
Ukiavhana n Mh. Rais, CCM ina wajinga wengi sana.
 
Ila mwenyekiti wenu aendelee na harakati zake za haki faragha?
Hivi Zanzibar sio ndiyo wamejaa mashoga zaidi kwa ukanda huu wa Afrika.

Mwenyekiti wako na Makamu wako wanasema nini kuhusu watoto wengi walioharibiwa na wanaoendelea kuharibiwa Zanzibar.

Hatua gani wamechukua? Wengine mkawateua kabisa kuwa viongozi waandamizi ndani ya chama chako kama Yule mwenezi aliyepita. Kuna wakima kiringo kibao huko wengi kama yule Askari shoga, wengi wapo huru uraiani. Wachukue hatua badala ya maneno matupu.
 
Huyu mzee ana kauli za k*seng* Sanaaa.
Hizi kauli si za kizalendo kabisa wazee Kama Hawa ni watu wazio staili kuendelea kua hai.

Kwa Sasa mzee WASSIRA alitakiwa kua kijijini kwake akicheza na wajukuu na vitukuu.
 
Ngoja awapige nyundo wazee wa haki faragha.
 
Wakiwajibu msiwakamate kwa kisingizio cha kusema uongo..!!
Lissu hachelewi kuwaletea list ya majina wahusika wa hiyo michezo.!!
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa Tanzania haitakubali kulazimishwa kuiga tamaduni za mataifa ya Magharibi, ikiwemo ndoa za jinsia moja, na kusisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza kwa ridhaa ya Watanzania kuepuka mambo hayo.

Akizungumza Januari 29, 2025, katika mkutano wa hadhara mkoani Geita kuelekea Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM, Wasira amesema kuna njama za baadhi ya watu aliowaita ‘vibaraka’ kutaka kupenyeza ajenda za mataifa ya nje, ikiwemo kuhalalisha ndoa za jinsia moja, jambo ambalo CCM haitakubali.

"Wanatumia vibaraka wao, wanataka utamaduni wao utawale mawazo yetu? Mpaka wanafikia mahali wanataka wanaume waoane na wanawake waoane kwa wanawake, hao ndio walio na vibaraka wao ndani ya Tanzania ambao wanasema tumekaa sana, tumewachelewesha wanaume kuoana maana hatukubaliani nao," amesema Wasira.

Aidha, amezungumzia madai kuwa CCM imekaa madarakani muda mrefu na kusema kuwa chama hicho kimeendelea kuleta maendeleo makubwa nchini, ikiwa ni pamoja na kupanua elimu kwa watoto wa Tanzania.

"Tulidai uhuru kwa sababu tulikuwa na ajenda ya maendeleo na mabadiliko ambayo wakoloni walishindwa kuyaleta. Leo tuna mamilioni ya watoto wanasoma, tena tunasomesha watoto wetu wote. Asilimia kubwa ya watoto wa Tanzania wanakwenda shule. Huko Geita walipoondoka hakukuwa na hata sekondari moja, leo zinafikia 90 zilizojengwa ndani ya miaka minne. Ni nani kama Rais Samia Suluhu Hassan?" amehoji Wasira.

Soma, Pia: Wasira: Hatukatai mazungumzo, lakini hatuwezi kuamrishwa, asisitiza sera ya Samia ya 4R

Amesisitiza kuwa CCM itaendelea kushikilia madaraka kwa kuwa inaungwa mkono na wananchi na si kwa makubaliano na taifa lolote la nje.

"Tunawaambia hatukuwa na mkataba na mtu, tupo hapa kwa idhini ya Watanzania na sisi tutaendelea kuwepo, hatuna mpango wa kutoka madarakani," amesisitiza.
This is very cheap politics from the veteran politician.

It is only when you stop politics and start doing politicking.

Mr Wassira is doing politicking which is very low for him.
 
Uyu mzee mnafiki sana ,wakati wa Mwalim ,Mkapa ,jk mbona hakuyasema aya, kwamba Wasira wa kipindi kile na wa sasa wakikutana basi watapigana ngumi, sio
 
Unajua unaweza kufa muda na umri wowote lakini miaka 80 ndio uko mbioni kabisa kurudi Kwake aliyetuumba na kama utaishi zaidi ya hapo miaka 15 ijayo huenda ndio ule umri wa kukaribia kubebwa kama mtoto. Sasa badala ya kutubu zambi ndio kwanza umeanza kutenda zambi.
 
Back
Top Bottom