Pre GE2025 Wasira: Mabeberu na Vibaraka wao wanataka kuleta Ushoga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wassira angejikita kutuambia wana mikakati gani ya kuanzia kutengeneza ARV, kupunguza maambukizi ya HIV.

Kuweka gloves kwenye hospitality za uzazi za wajawazito, na mikakati gani ya kufanya nchi iache kuwa ombaomba, kukopa ovyo.
 
Ni vita ya wasira na Lissu
 
Wassira angejikita kutuambia wana mikakati gani ya kuanzia kutengeneza ARV, kupunguza maambukizi ya HIV.

Kuweka gloves kwenye hospitality za uzazi za wajawazito, na mikakati gani ya kufanya nchi iache kuwa ombaomba, kukopa ovyo.
Ila mwenyekiti wenu aendelee na harakati zake za haki faragha?
 
Ukiavhana n Mh. Rais, CCM ina wajinga wengi sana.
 
Ila mwenyekiti wenu aendelee na harakati zake za haki faragha?
Hivi Zanzibar sio ndiyo wamejaa mashoga zaidi kwa ukanda huu wa Afrika.

Mwenyekiti wako na Makamu wako wanasema nini kuhusu watoto wengi walioharibiwa na wanaoendelea kuharibiwa Zanzibar.

Hatua gani wamechukua? Wengine mkawateua kabisa kuwa viongozi waandamizi ndani ya chama chako kama Yule mwenezi aliyepita. Kuna wakima kiringo kibao huko wengi kama yule Askari shoga, wengi wapo huru uraiani. Wachukue hatua badala ya maneno matupu.
 
Huyu mzee ana kauli za k*seng* Sanaaa.
Hizi kauli si za kizalendo kabisa wazee Kama Hawa ni watu wazio staili kuendelea kua hai.

Kwa Sasa mzee WASSIRA alitakiwa kua kijijini kwake akicheza na wajukuu na vitukuu.
 
Ngoja awapige nyundo wazee wa haki faragha.
 
Wakiwajibu msiwakamate kwa kisingizio cha kusema uongo..!!
Lissu hachelewi kuwaletea list ya majina wahusika wa hiyo michezo.!!
 
This is very cheap politics from the veteran politician.

It is only when you stop politics and start doing politicking.

Mr Wassira is doing politicking which is very low for him.
 
Uyu mzee mnafiki sana ,wakati wa Mwalim ,Mkapa ,jk mbona hakuyasema aya, kwamba Wasira wa kipindi kile na wa sasa wakikutana basi watapigana ngumi, sio
 
Unajua unaweza kufa muda na umri wowote lakini miaka 80 ndio uko mbioni kabisa kurudi Kwake aliyetuumba na kama utaishi zaidi ya hapo miaka 15 ijayo huenda ndio ule umri wa kukaribia kubebwa kama mtoto. Sasa badala ya kutubu zambi ndio kwanza umeanza kutenda zambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…