SI KWELI Wasira: Maridhiano ni lazima bila hivyo kuna watu watakaa jela milele

SI KWELI Wasira: Maridhiano ni lazima bila hivyo kuna watu watakaa jela milele

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Mzee amenena maneno ya makufuru dhidi ya mpigania haki Lisu ambaye wmezuiliwa gerezani bila kosa lolote.

Leo mzee Wasira ameropoka na kusema wanamzuia kwakuwa hataki maridhiano.

Soma mwenyewe hapa chini.

"Tunapozungumzia maridhiani tunamaanisha Makubaliano ya kitaifa, kiutendaji na amani ya kudumu, sasa wewe ukikataa inaonyesha siyo mtu mzuri kwetu na kwenye taifa ni hatari. Kwaiyo hupaswi kuwa huru, utakaa chini ya uangalizi milele"- Amesema Wasira

Wasira 2.jpg
Wasira 1.jpg


​
 
Tunachokijua
Kupitia mitandao ya kijamii, imeibuka Taarifa inayoeleza kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Stephen Wassira ameeleza kuwa maridhiano ni lazima la sivyo kuna watu wataozea jela.

Uhalisia wa Taarifa hiyo

JamiiCheck imefuatilia na kujirirdhisha kuwa Taarifa hiyo si ya kweli.

Ufuatiliaji kwa njia ya mtandao uebainisha kuwa hakuna chanzo chochote cha kuaminika pia kilichpchapisha taarifa hiyo kumuhusu Stephen Wassira.

Utafutaji kwa kutumia maneno muhimu umeonesha kuwa Taarifa hiyo imechapishwa na watu wengi Januari 30, 2026 ambapo wote wameandika ujumbe wa aina moja bila kutaja ni wapi na llini kiongozi huyo alitoa nukuu hiyo.

Aidha hakuna kumbukumbu zozote za hivi karibuni zikimuonesha Wassira akizungumza na waandishi wa habari ama kwenye mikutano ya hadhara siku ya Januari 30, 2026.

Katika vipindi tofauti Wasira amewahi kuzungumzia kuwa maridhiano ni jambo la lazima na kama mtu hatotaka basi hatolazimishwa lakini hakuwahi kueleza kuwa atakayekataa ataozea jela. Tazama hapa na hapa ambapo alieleza kuwa;

Sasa kama yupo mtu hataki mazungumzo, hataki amani, hataki maridhiano, hataki kusema na wenzake tutamuacha tu aongee na miti na majani baadae atakapochoka kuongea na miti na majani atakuja tutaongea lakini maridhiano ni jambo la lazima ukikataa unataka nini?
Mzee amenena maneno ya makufuru dhidi ya mpigania haki Lisu ambaye wmezuiliwa gerezani bila kosa lolote.

Leo mzee Wasira ameropoka na kusema wanamzuia kwakuwa hataki maridhiano.

Soma mwenyewe hapa chini.

"Tunapozungumzia maridhiani tunamaanisha Makubaliano ya kitaifa, kiutendaji na amani ya kudumu, sasa wewe ukikataa inaonyesha siyo mtu mzuri kwetu na kwenye taifa ni hatari. Kwaiyo hupaswi kuwa huru, utakaa chini ya uangalizi milele"- Amesema Wasira

Huyu babu inaelekea ile dozi ya Wana Bunda haikumuingia sawasawa.
 
Sijui kwanini, nasoma narudia hivyo hivyo tena. Nachokiona ni Mahakama za Tanzania haziko huru, sisi ndio tuna amua nini kifanyike. Yaani ile dhana kuwa Mahakama inajitegemea haipo.

Na kwa kutambua hilo, Yule CJ anaendelea kufanya nini?
 
Hata yaliyotokea MO29 yalisababishwa na wazee wachache kama huyu. Maana ulafi wao wa mali za umma na kulinda maslahi yao binafsi kupitia Ccm kunawafanya kuwa viziwi na vipofu wa kujua watanzania wanataka nini. Mkwamo wa taifa letu kwa sasa ni kwasababu ya wazee kama hawa. Maana mtazamo wao upo against mtazamo wa wananchi na kupelekea taifa letu kuonekana la hovyo kabisa na lililopoteza muelekeo. Taifa haliridhiani na Lisu . Huyu Lisu anasimama kama alama ya maumivu ya waTZ kwa ujumla hata mkifunga milele hata nyinyi mioyoni mwenu hamtakuwa na amani kamwe.
 
Mzee amenena maneno ya makufuru dhidi ya mpigania haki Lisu ambaye wmezuiliwa gerezani bila kosa lolote.

Leo mzee Wasira ameropoka na kusema wanamzuia kwakuwa hataki maridhiano.

Soma mwenyewe hapa chini.
=============
MARIDHIANO NI LAZIMA BILA HIVYO KUNA WATU WATAKAA JELA MILELE: MZEE WASIRA
"Tunapo zungumzia maridhiano tunamaanisha makubaliano ya kitaifa kiutendaji na amani ya kudumu, sasa wewe ukikataa inaonyesha sio mtu mzuri kwetu na kwenye Taifa ni hatari.
Kwaiyo hupaswi kuwa huru, utakaa chini ya uangalizi milele"

View attachment 3536710
Hiyo ni dictation, siyo maridhiano! Sauti za kutaka maridhiano zilipazwa na kila mpenda haki kabla ya General Elections, lakini madhalimu wanaotaka maridhiano leo walizipuuza kwasababu walitaka wajiweke madarakani kwanza ili kuepuka immediate impact ya maridhiano.
 
Hili zee senge ni mouth piece ya Jakaya Mrisho Kikwete. Maovu mengi sana wanayofanyiwa wapinzani na wakosoaji JK ndiye mshauri mkuu.
 
Mzee amenena maneno ya makufuru dhidi ya mpigania haki Lisu ambaye wmezuiliwa gerezani bila kosa lolote.

Leo mzee Wasira ameropoka na kusema wanamzuia kwakuwa hataki maridhiano.

Soma mwenyewe hapa chini.

"Tunapozungumzia maridhiani tunamaanisha Makubaliano ya kitaifa, kiutendaji na amani ya kudumu, sasa wewe ukikataa inaonyesha siyo mtu mzuri kwetu na kwenye taifa ni hatari. Kwaiyo hupaswi kuwa huru, utakaa chini ya uangalizi milele"- Amesema Wasira

Atakufa siku moja hataishi milele
 
Wazee wenye hekima ndiyo hao akina Mpango wameamua "kupumzika" na busara zao!!

Ni maridhiano au kupumbaza watu tu? Unaridhiana huku unaendelea na matendo yaleyale ya kishetani!

Mzee Kibao aliuwawa mkiwa kwenye hayo maridhiano na yule jamaa!
 
Mandela mwenyewe walijuwa atakaa jela
Milele lkn huyo alitoka

Ova
 
Mzee amenena maneno ya makufuru dhidi ya mpigania haki Lisu ambaye wmezuiliwa gerezani bila kosa lolote.

Leo mzee Wasira ameropoka na kusema wanamzuia kwakuwa hataki maridhiano.

Soma mwenyewe hapa chini.

"Tunapozungumzia maridhiani tunamaanisha Makubaliano ya kitaifa, kiutendaji na amani ya kudumu, sasa wewe ukikataa inaonyesha siyo mtu mzuri kwetu na kwenye taifa ni hatari. Kwaiyo hupaswi kuwa huru, utakaa chini ya uangalizi milele"- Amesema Wasira

Tukisema Hilo genge hamna mwenye akili wanaona tunawatukana
 
Back
Top Bottom