PostGE2025 Wasira, Maridhiono siyo na CHADEMA ni Maridhiano ya Kitaifa na kuliponya taifa

PostGE2025 Wasira, Maridhiono siyo na CHADEMA ni Maridhiano ya Kitaifa na kuliponya taifa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
IMG-20260415-WA0001.jpg
 
Akizungumza na BBC nguli wa siasa barani Afrika Stephan Wassira amesema Maridhiano siyo na CHADEMA ni mustakabali wa Kitaifa kwa hiyo wale wanaosema Notorious criminal Tundu Lissu aachiwe ndo tuingie kwenye Maridhiano mnajidanganya Maridhiano yatafanywa na Vyama vya siasa 18 na CCM iko tayari watch

View: https://www.instagram.com/reel/DXhRVl1Delo/?igsh=YTliY2NmbGx3dzV2

Video courtesy BBC


Wanaliponya Taifa wakati jana walikuwa busy wanashangilia na kupiga makofi ya furaha. Hawa jamaa ni Mashetani wenye human face.
 
Mzee mbona anarukaruka kama maharage yanayochemka jikoni? Maridhiano na chama gani kilichoumizwa zaidi ya CHADEMA? CHADEMA na Lissu ndio wananchi wenyewe wa taifa. Mkianza kuleta hoja za kifedhuli na kijeuri kama hiyo hakuna maridhiano ya dhati yatakayofanyika.
 
Back
Top Bottom