PostGE2025 Wasira, Maridhiono siyo na CHADEMA ni Maridhiano ya Kitaifa na kuliponya taifa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Akizungumza na BBC nguli wa siasa barani Afrika Stephan Wassira amesema Maridhiano siyo na CHADEMA ni mustakabali wa Kitaifa kwa hiyo wale wanaosema Notorious criminal Tundu Lissu aachiwe ndo tuingie kwenye Maridhiano mnajidanganya Maridhiano yatafanywa na Vyama vya siasa 18 na CCM iko tayari watch

View: https://www.instagram.com/reel/DXhRVl1Delo/?igsh=YTliY2NmbGx3dzV2

Video courtesy BBC

Huyu mtu anataka hadi aingie kaburin (ambalo tayari lipo tayari kumpokea) akiwa analisaliti taifa hili?

Faida kwake ni nini?
 
Akizungumza na BBC nguli wa siasa barani Afrika Stephan Wassira amesema Maridhiano siyo na CHADEMA ni mustakabali wa Kitaifa kwa hiyo wale wanaosema Notorious criminal Tundu Lissu aachiwe ndo tuingie kwenye Maridhiano mnajidanganya Maridhiano yatafanywa na Vyama vya siasa 18 na CCM iko tayari watch

View: https://www.instagram.com/reel/DXhRVl1Delo/?igsh=YTliY2NmbGx3dzV2

Video courtesy BBC

Sasa hivyo vyama vingine wanaridhiana kitu gani?

Wao wako okay na kila kitu, kuanzia tume ya uchaguzi mpaka maisha ya sasa the way yalivyo

Sasa watalidhiana na nini?
 
Akizungumza na BBC nguli wa siasa barani Afrika Stephan Wassira amesema Maridhiano siyo na CHADEMA ni mustakabali wa Kitaifa kwa hiyo wale wanaosema Notorious criminal Tundu Lissu aachiwe ndo tuingie kwenye Maridhiano mnajidanganya Maridhiano yatafanywa na Vyama vya siasa 18 na CCM iko tayari watch

View: https://www.instagram.com/reel/DXhRVl1Delo/?igsh=YTliY2NmbGx3dzV2

Video courtesy BBC

Mkuu sasa mnapiga kelele za nini kama vyama 18 ambavyo vilisema hakukuwa na Tatizo kwenye huo uchaguzi wa October 2025, na viko tayari kwa maridhiano (japo sijui wanaenda kuridhia nini) kwanini msiendelee na hiyo ajenda yenu badala ya kuwawaza Cdm ambacho ni chama kimoja tu wakati vyama 18 vitashiriki.
 
Hivyo vyama 18 vinavyozungumziwa, viliwahi kulalamika wapi kuwa vina mgogoro na serikali?

Maridhiano huwa yanafanywa na pande zinazovutana.
 
Akizungumza na BBC nguli wa siasa barani Afrika Stephan Wassira amesema Maridhiano siyo na CHADEMA ni mustakabali wa Kitaifa kwa hiyo wale wanaosema Notorious criminal Tundu Lissu aachiwe ndo tuingie kwenye Maridhiano mnajidanganya Maridhiano yatafanywa na Vyama vya siasa 18 na CCM iko tayari watch

View: https://www.instagram.com/reel/DXhRVl1Delo/?igsh=YTliY2NmbGx3dzV2

Video courtesy BBC

Hivyo vyama 18 mnavyotaka kuridhiana navyo ni kwa sababu gani??

Viliwahi kugombana na serikali, CCM, au na watanzania?

Vilisusia uchaguzi?

Vilikataa matokeo ya uchangu?

Vinaipinga serikali?

Ndiyo vilipiga watu risasi?

Ndiyo chanzo cha mgogoro nchini?

Ndiyo vinazuia nchi isipate mikopo na misaada kutoka nje ya nchi?

Ndiyo vinafanya wananchi wasipate maji na umeme wa uhakika?
 
Back
Top Bottom