Huyu mtu anataka hadi aingie kaburin (ambalo tayari lipo tayari kumpokea) akiwa analisaliti taifa hili?Akizungumza na BBC nguli wa siasa barani Afrika Stephan Wassira amesema Maridhiano siyo na CHADEMA ni mustakabali wa Kitaifa kwa hiyo wale wanaosema Notorious criminal Tundu Lissu aachiwe ndo tuingie kwenye Maridhiano mnajidanganya Maridhiano yatafanywa na Vyama vya siasa 18 na CCM iko tayari watch
View: https://www.instagram.com/reel/DXhRVl1Delo/?igsh=YTliY2NmbGx3dzV2
Video courtesy BBC
Mnatambaje na rais kilazaa mnajitambua nyie kweli?!?!Nakukumbusha we kubwa jinga hii ni 2026 Rais Samia tunae na tunatamba naye mpaka October 2030
Kumbe we askari magereza huna akili kiasi hiki!Alikua anazima moto nyumba yake iliyokua ikichomwa na wahalifu oktoba 29
Akizungumza na BBC nguli wa siasa barani Afrika Stephan Wassira amesema Maridhiano siyo na CHADEMA ni mustakabali wa Kitaifa kwa hiyo wale wanaosema Notorious criminal Tundu Lissu aachiwe ndo tuingie kwenye Maridhiano mnajidanganya Maridhiano yatafanywa na Vyama vya siasa 18 na CCM iko tayari watch
View: https://www.instagram.com/reel/DXhRVl1Delo/?igsh=YTliY2NmbGx3dzV2
Video courtesy BBC
Mkuu sasa mnapiga kelele za nini kama vyama 18 ambavyo vilisema hakukuwa na Tatizo kwenye huo uchaguzi wa October 2025, na viko tayari kwa maridhiano (japo sijui wanaenda kuridhia nini) kwanini msiendelee na hiyo ajenda yenu badala ya kuwawaza Cdm ambacho ni chama kimoja tu wakati vyama 18 vitashiriki.Akizungumza na BBC nguli wa siasa barani Afrika Stephan Wassira amesema Maridhiano siyo na CHADEMA ni mustakabali wa Kitaifa kwa hiyo wale wanaosema Notorious criminal Tundu Lissu aachiwe ndo tuingie kwenye Maridhiano mnajidanganya Maridhiano yatafanywa na Vyama vya siasa 18 na CCM iko tayari watch
View: https://www.instagram.com/reel/DXhRVl1Delo/?igsh=YTliY2NmbGx3dzV2
Video courtesy BBC
Hao wahalifu ni wajinga basi. Wangerudi na kumuweka na yeye humo aenda akamsalimie kiongozi wa malaikaAlikua anazima moto nyumba yake iliyokua ikichomwa na wahalifu oktoba 29
Hivyo vyama 18 mnavyotaka kuridhiana navyo ni kwa sababu gani??Akizungumza na BBC nguli wa siasa barani Afrika Stephan Wassira amesema Maridhiano siyo na CHADEMA ni mustakabali wa Kitaifa kwa hiyo wale wanaosema Notorious criminal Tundu Lissu aachiwe ndo tuingie kwenye Maridhiano mnajidanganya Maridhiano yatafanywa na Vyama vya siasa 18 na CCM iko tayari watch
View: https://www.instagram.com/reel/DXhRVl1Delo/?igsh=YTliY2NmbGx3dzV2
Video courtesy BBC