Pre GE2025 Wasira: Othman, Lissu wasitafute mchawi kuzuiwa kuingia Angola. Serikali haisimamii Uwanja wa Angola

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Marehemu wasira
 
Waambie hao comrade .. kutwa kujilalamisha tu
 
Eti huenda kuna jambo wanalitilia shaka....anazungumza kama shoga la Tanga
 
na viongozi wa chadema inasemekana wametumia jumla ya milioni 45 za tone tone kwa safari hiyo ya Angola, na utapeli wa kidigitali unaendelea muda huu πŸ’
Narudia tena, haichekeshi. 🌈 Unakwama wapi?
 
Kuliko tunavyotapeliwa kwenye michango ya shuruti za mbio za mwenge?
wewe last week zimechangwa milioni 64, milioni 45 zimetumika kwa safari moja tu ya kwenda hapo Angola,

jitu limeng'ang'ana kudhulumiwa kidigitali, kama zuzu vile, dah!πŸ’
 
Reactions: UCD
wewe last week zimechangwa milioni 64, milioni 45 zimetumika kwa safari moja tu ya kwenda hapo Angola,

jitu limeng'ang'ana kudhulumiwa kidigitali, kama zuzu vile, dah!πŸ’
Mbio za mwenge tumetapeliwa tukiwa wanafunzi wa shule ya msingi hadi na utu uzima huu, itakuwa hiyo tonetone ya wiki 2?
 
Mbio za mwenge tumetapeliwa tukiwa wanafunzi wa shule ya msingi hadi na utu uzima huu, itakuwa hiyo tonetone ya wiki 2?
sasa gentleman hiyo tone tone ya kutoa huku na kuishia kule si itakufanya uzeeke kwa stress sana?πŸ’
 
Nizeeke zaidi ya nilivyozeeshwa na michango ya mbio za mwenge tena bila ridhaa yangu?
kwa ridhaa ya waTanzania wote mambo ya kitaifa hufanyika, kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi

hayupo wa kubabaika na msusaji wa wa michakato ya kidemokrasia kama wewe gentleman πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…