Pre GE2025 Wasira: Othman, Lissu wasitafute mchawi kuzuiwa kuingia Angola. Serikali haisimamii Uwanja wa Angola

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtake radhi NDUGAI hapa hausiki .NDUGAI si muhimili wa dola tena alikwisha kacha mambo mitambo ..NCHI ITAUZWA HII KWA KUKOPA KOPA.
Ndugai alijisahau sana, ukafika wakati akamvua Lissu Ubunge, tena akiwa kwenye matibabu akadai Lissu anazurura Ulaya.
 
Zeee la hovyo kama linavyoonekana.
Uwanja wa ndege hauzui mtu isipokuwa mamla zinazosimamia ambazo ni serikali ....
Haya ni maagizo ya serikali ya Angola na mwenye uwezo wa kuwasiliana nao ni serikali ya Tanzania.

Kwanza rais wa Angola ana sura kama ya Wasira kana vile ni mwanae
Walipoondoka kwenda angola waliiaga serikali? Hadi iingilie kati?
 
Wakuu,

Kunazidi kufurukuta, moshi unaongezeka!

====

Wakati kitendo cha kuzuiwa kuingia nchini Angola na mamlaka za nchi hiyo kwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman na mwenzake wa Chadema, Tundu Lissu kukizua mjadala, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amejitosa kwenye sakata hilo.

Wasira amesema kuwa kuzuiwa kwa viongozi hao na mamlaka za nchi za Angola, hawapaswi kutafuta mchawi wala kuinyooshea kidole Serikali ya Tanzania.

Pia soma ACT: Viongozi wetu waliozuiwa kuingia Angola wamerejea Nchini, tunasikitishwa na ukimya wa Serikali ya Tanzania

Akizungumza leo Ijumaa Machi 14, 2025 kwenye mkutano wa ndani uliofanyika Vwawa wilayani Mbozi mkoani Songwe, wakati akianza ziara yake ya siku tatu mkoani humo, Wasira amesema kila nchi ina utaratibu wake ambao ni lazima uheshimiwe.

"Leo nimesoma kuna viongozi walikuwa wanaenda Angola, lakini wamenyang'anywa hati za kusafiria, huko ni Angola sio Tanzania, hapa hakuna aliyenyang’anywa hati yake na hata ikiisha muda wake tunawapa nyingine ili waende wanakotaka na kurudi salama.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Wanalalamika kwa nini Serikali imekaa kimya sasa kwani, sisi tunasimamia Uwanja wa Ndege wa Angola? Ule uwanja unasimamiwa na watu wa Angola, na huenda walikuwa na jambo ambalo wanalitilia shaka," amesema Wasira na kuongeza: “Sasa kuwaambia tu msiingie nchini kwetu kuna tatizo gani, si mrudi tu nyumbani?

Mwananchi
Sasa nani kamuuliza huyu zinja? Katembea na dawa kweli?
 
Wasira hana akili kwa kweli.

Kwa hiyo Marekani leo Senator wa Democrats akizuiliwa uwanja wa ndege hawataingilia kati just because huku ni Tanzania na sio Marekani na wanaotawala ni Republicans?

Mbona anachochea mbegu mbaya sana ya kuwabagua watu kwa itikadi za kivyama?

Hajui Othman Masoud ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar? Haoni kwa cheo chake tu tukiacha kuwa ni mpinzani ilipaswa Serikali kutoa tamko la kulaani kitendo kile?

Hawa watu acha wajisahau hawajui kesho watakuwa wapinzani. Wanadhani watatawala milele.
What if ccm wanahusika kwenye mchakato huo?..Unazijua vzr nchi sa kusini mwa bara la africa kwa ccm?
 
Huyu Mzee anaifanya ccm iendellee kuwa kero kadri siku zinaenda. NI mropokaji, haendani na umri wake
 
Na wewe mbona hapa unaropoka tu! Mwache aropoke wengine tunamsikiliza vizuri tu. Hiyo ndiyo demokrasia mkuu.
 
Wa kulaumiwa ni Samia kuteua mtu ambaye akili zake zinayumba kuwa makamu wake!
 
Wasira hana akili kwa kweli.

Kwa hiyo Marekani leo Senator wa Democrats akizuiliwa uwanja wa ndege hawataingilia kati just because huku ni Tanzania na sio Marekani na wanaotawala ni Republicans?

Mbona anachochea mbegu mbaya sana ya kuwabagua watu kwa itikadi za kivyama?

Hajui Othman Masoud ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar? Haoni kwa cheo chake tu tukiacha kuwa ni mpinzani ilipaswa Serikali kutoa tamko la kulaani kitendo kile?

Hawa watu acha wajisahau hawajui kesho watakuwa wapinzani. Wanadhani watatawala milele.
Kimsingi Mzee Wasira ni kiboko ya Wapinzani hawana hamu.nae maana hawakopeshi 😂😂
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Ni kweli ndio maana nataka nije nikuone unisaidie maisha mkuu. Si unajua tena sisi vijana kula kulala kwa shemeji zetu! Mtuvumilid tu mkuu!!
Haya shuka hapo kituo cha Kwa Mtogole then fuata hiyo barabara ya kulekea Sayansi ukifika hapo Polisi post kwa Alimaua A nikukute hapo hapo kituoni waambie wewe ni mgeni wa Baba Dulla watanipigia , sawa sawa?
 
Back
Top Bottom