Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
"Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani aliita vyama kule Dodoma na nchi hii ina vyama 19 vilihudhuria vyama 18 kwenye huo mkutano.
"Na Rais alikuwa akizungumzia kuhusu 4R maridhiano. Na katika vyama hivyo CHADEMA haikuwepo.
"Na Rais akizungumzia kuwa na mfumo wa maridhiano ambao unawafanya vyama vyote viwe sehemu ya jamii. Na hoja ni hiyo kwamba Rais alitaka maridhiano"- Stephen Masato Wasira, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara.
Pia, Soma: Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili yoyote ya utashi wa kuwepo kwa maridhiano ya kisiasa nchini