"Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani aliita vyama kule Dodoma na nchi hii ina vyama 19 vilihudhuria vyama 18 kwenye huo mkutano.
"Na Rais alikuwa akizungumzia kuhusu 4R maridhiano. Na katika vyama hivyo CHADEMA haikuwepo.
"Na Rais akizungumzia kuwa na mfumo wa maridhiano ambao unawafanya vyama vyote viwe sehemu ya jamii. Na hoja ni hiyo kwamba Rais alitaka maridhiano"- Stephen Masato Wasira, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara.
Huyu Mzee angepumzika tu..sio kwa AIBU hii..hajui hata ACT Wazalendo waliohudhuria "kikao" hicho walisema 4R za Mh Rais zilikuwa ni Hadaa( Kupitia kwa KM wao)..APUUZWEE