Ilichaguliwa na wananchi wapi?
Lini
Na saa ngapi?
Mm binafsi nilijiandikisha kituo Cha minazi mirefu kurasini pr. Sikwenda kabisa kupiga kura baada ya machafuko nikaenda na nikagundua nilipigiwa kura!
Chama Cha CHauma kilipata kura lakini 2 ambayo ni chini ya 5% ya kura zote lakini kina wabunge wawili wa viti maalumu bungeni how?
Wasira huhitaji kusimama mbele za watu. na kusema mm ni halali kwa sababu nalala na mama yenu. Yapaswa watoto wakutambue
Kama ww sio Muongo👈??
Kama ww sio mpotoshaji 👈??
Embu waambie wasomaji wa Jamii forum
fujo zile kweli za sehemu chache zimezuiya Wapiga kura wa Dar es salaam wote wasiende kupiga kura!!??
Kwanini fujo za sehemu chache za mbeya mjini sehemu chache za Dar Arusha mnazifanya ndio za Mikoa yote Tanzania na Wilaya zake
Maeneo machache kinondoni kimara Ubungo ndio jijii lote la Dar es Sallam?
Ajabu ndani ya Dar pekeyake waliopiga kura ni wengi kuliko wasiopiga kura👈
Vipi ile mikoa hakukuwa na fujo kabisa❗️
Mfano kigambon yote Cheka kimbiji mwasonga Magodani Kibada kongoye bado ayo maeneo nimetaja yana
ndani ndani hakukuwa na fujo yoyote 👈
Temeke Chanika Ilala sehemu kubwa wamepiga kura kwa muda wote mpaka jioni saa11
Hata izo sehemu chache fujo zimeanza saa 5 - 6 mchana wkt wengi washapiga kura tangu Asubuhi!!
Apo naongelea jiji la Dar ukivuka vikindu kisemvule Mkuranga
Kimanzichana Bungu Kibiti Ikwiriri muhoro Nyamwage Somanga Lindi nk.
Kumbuka ayo maeneo yana ndani ndani koteeee kulikuwa shwari mwanzo mwisho✍️
Tanzania kubwaa sana sio kimara Arusha Mbeya mjini tu👈
.Kuna mikoa mingi Wilaya nyingi Vijiji vitongoji uko kotee hawakujua izo fujo zinafananaje kwanzia asubuhi mpaka jioni 😇😇
Nyinyi bado tu mnatembea na propaganda ya izo kura wamepigiwa nanani🤣🤣
Kimara iyoiyo ndani ndani zimepigwa kura nyingi tu.