Wasira: Serikali yetu ni halali kwa sababu imechaguliwa na wananchi

Makamu Mwenyekiti wa CCM, Nephew Wasira akizungumza katika mahojiano na TBC leo
View attachment 3629339
Mzee wa Gombe acha vichekesho hamna watalii hapa ila Watanzania wazalendo wanaotambua haki zao za msingi,kama haki ya chaguzi zilizo huru na sii za kuiba kama chama chako kinavyofanya halafu bila aibu unakuja hapa kutudanganya!
 

Kama ww sio Muongo👈??

Kama ww sio mpotoshaji 👈??

Embu waambie wasomaji wa Jamii forum
fujo zile kweli za sehemu chache zimezuiya Wapiga kura wa Dar es salaam wote wasiende kupiga kura!!??

Kwanini fujo za sehemu chache za mbeya mjini sehemu chache za Dar Arusha mnazifanya ndio za Mikoa yote Tanzania na Wilaya zake

Maeneo machache kinondoni kimara Ubungo ndio jijii lote la Dar es Sallam?

Ajabu ndani ya Dar pekeyake waliopiga kura ni wengi kuliko wasiopiga kura👈

Vipi ile mikoa hakukuwa na fujo kabisa❗️

Mfano kigambon yote Cheka kimbiji mwasonga Magodani Kibada kongoye bado ayo maeneo nimetaja yana
ndani ndani hakukuwa na fujo yoyote 👈

Temeke Chanika Ilala sehemu kubwa wamepiga kura kwa muda wote mpaka jioni saa11

Hata izo sehemu chache fujo zimeanza saa 5 - 6 mchana wkt wengi washapiga kura tangu Asubuhi!!

Apo naongelea jiji la Dar ukivuka vikindu kisemvule Mkuranga
Kimanzichana Bungu Kibiti Ikwiriri muhoro Nyamwage Somanga Lindi nk.

Kumbuka ayo maeneo yana ndani ndani koteeee kulikuwa shwari mwanzo mwisho✍️

Tanzania kubwaa sana sio kimara Arusha Mbeya mjini tu👈

.Kuna mikoa mingi Wilaya nyingi Vijiji vitongoji uko kotee hawakujua izo fujo zinafananaje kwanzia asubuhi mpaka jioni 😇😇

Nyinyi bado tu mnatembea na propaganda ya izo kura wamepigiwa nanani🤣🤣

Kimara iyoiyo ndani ndani zimepigwa kura nyingi tu.
 
Ndiomana tunasema nyinyi mnaongozwa na PEPO chafu kiakili zakawaida uwezi kuoji Viongozi wamechaguliwa nanani kama kweli ww unaijua vizuri ukubwa wa nchi hii

Na kuelewa udogo wa sehemu kulipo tokea Fujo.

Uchaguzi ulikuwa nchi nzima kwa wkt ule ule !!

Sehemu chache kulipotokea fujo kusingeweza kufanya matokeo yawe tofauti ❗️👈

na tena kusingetokea vifo kabisa 👈

tatizo lilianzia pale kuanza kuchoma Miundombinu muhimu👈

Ushauri kwa Vijana tukio lile liwe funza kuu kwenye maisha yako na kuwaelekeza watu wa karibu yako👈

Kuwa kukiwa na Maandamano yoyote kuitwa ya Amani kwako sio kipimo sahihi ‼️ muhimu wkt upo kwenye ayo Maandamano chunguza matendo aya kwa wenzenu

1) ukiona kuna Uporaji wowote ❌️

2) Uchomaji wa Mali zozote zile za Serikali au za watu Binafsi ❌️

3) kupigwa watu ovyo na Waandamanaji ❌️

Ondoka halaka kwenye ayo Maandamano kimbia kwenu Kabla macho yako hayajawaona Polisi wowote✅️

Kimbia mdogo wangu mwanangu hatakama unamjomba Polisi kakako Baba nk.

Kimbia hata ikiwa umebanwa na kunya au kukojoa kimbia ivyo ivyo na uchafu wako utaenda nawa kwenu bora kuchekwa kuliko kufa👈

watakao kucheka wakijua baadae kuna Wafu👈
Wenyewe watakupongeza ✅️

Polisi wakija wenye mitutu yao ndugu yangu fahamu hawatotaka kuona kuna kiumbe kimesimama wima chenyewe☠️✍️

Mitandaoni mnadanganywa
sana👈

RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN kachaguliwa na Watanzania
wengi 👈

Ukiona mtandaoni mtu anaoji kuchaguliwa kwakwe👈

fahamu ni propaganda yenye lengo la kukudanganya wewe kijana
mdogo👈

Ukiwauliza maswali chunguzeni hawajibu ‼️

kwakuwa wanajua ukweli RAIS Dk Samia Suluhu Hassan kachaguliwa na Watanzania wote👈

Na wao wanaongea uwongo👈

Uwongo wao wameambukizana kama ugonjwa tu👈
 
Wendawazimu haswa yupo ccm na makamu mwenyekiti

hajui wasimamizi wa uchaguzi ndo walitiki kwaniaba ya waliojiandikisha
 
babu aliniambia wajinga, vichaa na machizi nao pia huzeeka...so usiamini sana mvi..
 
Kuna siku mkeka utachanikaaa

Meona picha ya watoto wa viongozi waandamizi wa TZ wanaotegemea kuweka nia 2030. Dahaaaa kazi ipoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…