Wasira: Vijana wafuate sera za Rais Samia. Hao unaofikiri hawatendi haki hawawezi kuishi milele

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amewataka vijana nchini kufuata sera ya ustahimilivu ya Rais Samia badala ya kutumia vurugu na uharibifu kudai haki zao.

Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa na NIjuze Julai 22, 2026, Wasira amesisitiza kuwa vijana ni asilimia 65 ya Taifa nzima hivyo nchi ni ya vijana

ndugu Stephen Wasira ni miongoni mwa wazee wa TANZANIA ambao akili zao ziko fiti mno 💪🔥
 
Katika wazee waliopoteza akili kutokana na kuwa machawa, ni huyu Wasira.

Hivi Wasira mpaka kuamua kuwa chawa wa watawala, anatafuta nini hasa? Au amepoteza akili hata ya kujua ana umri gani? Yawezekana anasoma umri wake kinyume: miaka 85, anasoma kuwa ni miaka 58!!
 
Back
Top Bottom