ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kwa kuwatuma hawaMy Take
Nyundo ya Mahakama Je inaweza kuwa ndio mwisho wa huo ujanja ujanja wa kutembeza bakuli la tonetone? 🤣🤣
Ni Kutiki tuu hiyo Oktoba
View: https://www.instagram.com/p/DKuMU-GtJR7/?igsh=MXh0azRuZ3l2eHJ3
Visingizio fcKwa kuwatuma hawa
Utakufa kif.. kibayaKwa kuwatuma hawa
Wewe chako kizuri kitakuaje?Utakufa kif.. kibaya
Tanzania Haina manyumbu wa hivyo na kama wachache mpo mtadhibitiwaTunakoelekea,sasa watu wenye hasira,ni kuvaa mabom..
Ndo nazidi kulichukia hilo limama lako kilazaa kutoka kizimkazi!Visingizio fc
Bado hujachukia vizuri Hadi uchukie tena 😆😆😆😆Ndo nazidi kulichukia hilo limama lako kilazaa kutoka kizimkazi!
No reform no electionMy Take
Nyundo ya Mahakama Je inaweza kuwa ndio mwisho wa huo ujanja ujanja wa kutembeza bakuli la tonetone? 🤣🤣
Pia soma Breaking News: - Pre GE2025 - Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA
Ni Kutiki tuu hiyo Oktoba
View: https://www.instagram.com/p/DKuMU-GtJR7/?igsh=MXh0azRuZ3l2eHJ3
My Take
Nyundo ya Mahakama Je inaweza kuwa ndio mwisho wa huo ujanja ujanja wa kutembeza bakuli la tonetone? 🤣🤣
Pia soma Breaking News: - Pre GE2025 - Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA
Ni Kutiki tuu hiyo Oktoba
===
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesisitiza kuwa hakuna mtu au kikundi cha kuzuia uchaguzi huku akiwataka wananchi kujiandaa kutiki na kutobabaishwa na kaulimbiu ya ‘no reform no election’ ya CHADEMA kwa kuwa inakwenda kufikia mwisho.
Pia amewasisitiza Watanzania na wanachama wa chama hicho kujiandaa kwenda ‘kutiki’ kwa kumpigia kura mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan na mwenza Dk. Emmenuel Nchimbi katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Wasira ameyasema hayo leo wilayani Tunduru, mkoani Ruvuma wakati akizungumza na wanachama wa CCM, viongozi wa dini na makundi mbalimbali ya kijamii.
“Usibabaishwe na maneno hakuna mtu wa kuzuia uchaguzi, utakuwepo na ninyi mabalozi toweni watu wetu waende wakapige kura muda ukifika, waende ‘wakatiki’ na tiki yenyewe ni rahisi maana unaona CCM na alama ya jembe na nyundo.
“…Utamuona mgombea wetu Dk. Samia na Dk. Nchimbi halafu mbele ya hao watu unaweka tiki. Kwa hiyo nilitaka niwaeleze haya mambo muyajue vizuri ili msije kubabaishwa," amesema Wasira.
Source: Nipashe
Mkakati umetick..Weka zuio heche akalale nyamongo makalla achanje mbuga😜😜😜My Take

No reform no election sasa si agenda ya chama bali ni ya wanye nchi yani sisi kenge msiwe kama wale waliomkata nywele samsoni na kufanyiaha kazi ngumu na kukisahau huwa nywele zake zinaota maana pigo la mwisho lilikuwa baya sana kuliko hapo kablaMy Take