Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Mkuu, Ni kwamba unaandika ukiwa hujui aina ya majibu yaliyopo au basi tu inabidi uandike sababu ushajikatia tamaa? Ukijibiwa hakuna mpasuko kwani NRNE hawafiki hata laki tano, wapo mitandaoni una namna ya kupinga?Mzee Wassira amekuwa mpumbavu uzeeni wakati alitakiwa kuwa na busara. Wanaosema No Reform, No Election ni wananchi pia na ni wengi kuliko hao anaosema wajiandae kupiga kura. Anauambia umma kwamba wananchi ni wale wanaokubaliana ma ccm tu na wale wasiokubaliana na ccm sio wananchi. Huko ndio kuchochea mpasuko wa kitaifa.
Swali la kujiuliza, inashindikana vipi kwa walio wengi kutengeneza attention nchi ikatulia kuwasikiliza?
Huu mtego ukiweza kuutegua unachosema kitapaswa kuwa na matokeo otherwise ni porojo zisizo na mtokeo bila kujali ni kweli au la.