PreGE2025 Wasira: Wapinzani wasituogope kama Simba alivyowaogopa Yanga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira amevitaka vyama vya upinzani kuacha kuwa na visingizio katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi badala yake wakubali kushiriki uchaguzi ili washindane.

Akiwa Tukuyu, mkoani Mbeya Machi 20 Wasira amesema "tunataka waje ulingoni waache visingizio waje maana timu inayoona itafungwa mara nyingi ndiyo inayokimbia uwanjani"

Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wasira ametumia mfano wa timu inayoogopa kuingia uwanjani kuwa itafungwa akimaanisha wanaoogopa kushiriki uchaguzi wanahofia kushindwa kwenye chaguzi hizo.

"Ukiona timu imeogopa kuja uwanjani ina mashaka kuwa itafungwa kwa hiyo tunaviambia vyama njooni acha kuweka mpira kwapani"

Aidha kwa siku za karibuni timu iliyokataa kwenda uwanjani kushiriki mchezo ni Simba Sc ambayo ilikataa kwenda kucheza na Young Africans Sc kitendo ambacho baadhi walitafsiri kama uoga wa Simba huku wao wakisema walifanyiwa vurugu kunyimwa kufanya mazoezi ya mwisho.

Yuko sahihi Mzee 💪👊
 
Kiboko yenu ni yule Mnyaturu/mnyiramba wa singida. Kutwa kuiongelea CHADEMA tu yakwenu ya kuvunja katiba ya chama hamuyaoni. Ipo siku yatawatokea puani tu, langu jicho.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira amevitaka vyama vya upinzani kuacha kuwa na visingizio katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi badala yake wakubali kushiriki uchaguzi ili washindane.

Akiwa Tukuyu, mkoani Mbeya Machi 20 Wasira amesema "tunataka waje ulingoni waache visingizio waje maana timu inayoona itafungwa mara nyingi ndiyo inayokimbia uwanjani"

Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wasira ametumia mfano wa timu inayoogopa kuingia uwanjani kuwa itafungwa akimaanisha wanaoogopa kushiriki uchaguzi wanahofia kushindwa kwenye chaguzi hizo.

"Ukiona timu imeogopa kuja uwanjani ina mashaka kuwa itafungwa kwa hiyo tunaviambia vyama njooni acha kuweka mpira kwapani"

Aidha kwa siku za karibuni timu iliyokataa kwenda uwanjani kushiriki mchezo ni Simba Sc ambayo ilikataa kwenda kucheza na Young Africans Sc kitendo ambacho baadhi walitafsiri kama uoga wa Simba huku wao wakisema walifanyiwa vurugu kunyimwa kufanya mazoezi ya mwisho.

Mwambie yeye ndiye anaogopa. Kama kweli haogopi mbona anaogopa kuweka UWANJA sawa wa kuchezea???
No reforms no election
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira amevitaka vyama vya upinzani kuacha kuwa na visingizio katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi badala yake wakubali kushiriki uchaguzi ili washindane.

Akiwa Tukuyu, mkoani Mbeya Machi 20 Wasira amesema "tunataka waje ulingoni waache visingizio waje maana timu inayoona itafungwa mara nyingi ndiyo inayokimbia uwanjani"

Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wasira ametumia mfano wa timu inayoogopa kuingia uwanjani kuwa itafungwa akimaanisha wanaoogopa kushiriki uchaguzi wanahofia kushindwa kwenye chaguzi hizo.

"Ukiona timu imeogopa kuja uwanjani ina mashaka kuwa itafungwa kwa hiyo tunaviambia vyama njooni acha kuweka mpira kwapani"

Aidha kwa siku za karibuni timu iliyokataa kwenda uwanjani kushiriki mchezo ni Simba Sc ambayo ilikataa kwenda kucheza na Young Africans Sc kitendo ambacho baadhi walitafsiri kama uoga wa Simba huku wao wakisema walifanyiwa vurugu kunyimwa kufanya mazoezi ya mwisho.

Nani wa kuogopa hicho chama cha mbeleko ya vyombo vya dola?
 
Kweli uto hawaogopi hadi mo arena walikwenda hata bila refa wala kamisaa.
 
Hili gendaeka tulipuuze tu linawaza kula matunda porini
 
Back
Top Bottom