Pre GE2025 Wasira: Watanzania hawana sababu ya kuichagua CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyo kikongwe tangu lini akawa kisemeo cha watanzania, yeye aseme wana ccm wenzake sio watqnzania
 
Muulizeni kwanini alihujumu shirika la GAPEX? kumtofautisha Wasira na wezi ni kazi sana.
 
Ni lini CCM imewahi Chaguliwa na Watanganyika? Afadhali wakati wa Chama kimoja kura ya NDIYO AU HAPANA ilikuwa na maana. Kwa sasa ni Wizi mtupu na uuaji tu!!
 
Ambacho haijui ni kuwa kama kungekua na Damu mpya hayo maendeleo yangekua mara dufu. Yeye ni old school, hawezi kuwa na mawazo ya mabadiriko miaka 81. Angepumzika awe anatoa maoni kupitia baraza la wazee wa CCM
 
Ukisikia hata wahuni huzeeka ndo hawa sasa
 
Huyu anajua vizuri umafia wa CCM, alipoenda upinzani(1995) alishinda ubunge wa Bunda mjini, akafunguliwa kesi kupinga ushindi wake,akavuliwa ubunge nakufungiwa kugombea..kilichofata akarudi CCM! conclusion huyu mzee ni msaka tonge tu
 
Kabisa hakuna sababu ya kuchagua chama chenye udini na ukabila!
Hii propaganda uliyokuwa nayo toka ujanani hadi uzeeni imeshachuja. Naona ww bado imekuathiri bila kujua mambo yamebadilika. Ni sawa na kuendelea kutumia simu za button wakati watu wako kwenye touch screen.
 
Huyu mzee anaiwaza chadema tu kwenye lile bichwa lake!
 
Huyu Mzee naye ni useless
 
Hii propaganda uliyokuwa nayo toka ujanani hadi uzeeni imeshachuja. Naona ww bado imekuathiri bila kujua mambo yamebadilika. Ni sawa na kuendelea kutumia simu za button wakati watu wako kwenye touch screen.
KIla mwenye simu ya touch lazima pembeni awe na burton kiswaswadu je hilo unalizungumziaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…