Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tulia, kwani mumeo hawezi kuchenga chama?Acha utani ,Mzee Mbowe aliharibu chama,mmpeni Lissu muda ajenge chama kitakachoweza kupewa madara by 2060
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia, kwani mumeo hawezi kuchenga chama?Acha utani ,Mzee Mbowe aliharibu chama,mmpeni Lissu muda ajenge chama kitakachoweza kupewa madara by 2060
Subiri upate akili timamuChadema gani ya kukamata nchi?
Mzee wetu amechoka sana.Natunza heshima yake.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewajibu vikali wanaodai kuwa hakuna kilichofanyika tangu Tanzania ipate uhuru, akisema kuwa kauli hizo zinatokana na kutojua historia ya maendeleo ya nchi.
Akizungumza katika Ofisi ya Makao Makuu ya CCM wilayani Tarime, Mkoa wa Mara, Wasira amesema kuwa maendeleo yaliyofikiwa ni makubwa na yanaonekana wazi, huku akisisitiza kuwa CCM imeendelea kutekeleza maono ya ukombozi wa kisiasa na kiuchumi kutoka kwa vyama vilivyoasisi uhuru wa nchi- TANU na ASP.
"Wapo wanaosema miaka 60 hakijafanyika chochote, lakini ni kwa sababu hawajui wanachokisema. Mimi niliijua Tarime kabla ya uhuru, na leo hii Tarime ni tofauti kabisa. Watu wa Tarime wa sasa wanajua kusoma na kuandika, wana huduma bora za afya, na miundombinu imeimarika," amesema Wasira.
Ameendelea kueleza kuwa serikali ya CCM imeleta mabadiliko makubwa nchini, hasa ndani ya miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan, ikiwamo ujenzi wa madarasa mapya na vituo vya afya vyenye vifaa vya kisasa.
Wasira pia ameikosoa CHADEMA, akidai kuwa chama hicho hakina mshikamano wala ajenda zenye tija kwa wananchi.
"Juzi wamefanya mkutano Dar es Salaam, wamegawana fito. Mmoja kaenda na ya kwake, mwingine kaenda na ya kwake. Hicho ni chama kweli? Halafu wanakuja kuwaambia watu wa Tarime wawapigie kura kwa sababu gani?" amehoji Wasira.
Amewataka wananchi wa Tarime kuendelea kuiamini CCM kama chama pekee kinachotekeleza maendeleo ya kweli kwa Watanzania.
Asitupangie tuna sababu tena za msingi kabisa za kuichagua CHADEMAMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewajibu vikali wanaodai kuwa hakuna kilichofanyika tangu Tanzania ipate uhuru, akisema kuwa kauli hizo zinatokana na kutojua historia ya maendeleo ya nchi.
Akizungumza katika Ofisi ya Makao Makuu ya CCM wilayani Tarime, Mkoa wa Mara, Wasira amesema kuwa maendeleo yaliyofikiwa ni makubwa na yanaonekana wazi, huku akisisitiza kuwa CCM imeendelea kutekeleza maono ya ukombozi wa kisiasa na kiuchumi kutoka kwa vyama vilivyoasisi uhuru wa nchi- TANU na ASP.
"Wapo wanaosema miaka 60 hakijafanyika chochote, lakini ni kwa sababu hawajui wanachokisema. Mimi niliijua Tarime kabla ya uhuru, na leo hii Tarime ni tofauti kabisa. Watu wa Tarime wa sasa wanajua kusoma na kuandika, wana huduma bora za afya, na miundombinu imeimarika," amesema Wasira.
Ameendelea kueleza kuwa serikali ya CCM imeleta mabadiliko makubwa nchini, hasa ndani ya miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan, ikiwamo ujenzi wa madarasa mapya na vituo vya afya vyenye vifaa vya kisasa.
Wasira pia ameikosoa CHADEMA, akidai kuwa chama hicho hakina mshikamano wala ajenda zenye tija kwa wananchi.
"Juzi wamefanya mkutano Dar es Salaam, wamegawana fito. Mmoja kaenda na ya kwake, mwingine kaenda na ya kwake. Hicho ni chama kweli? Halafu wanakuja kuwaambia watu wa Tarime wawapigie kura kwa sababu gani?" amehoji Wasira.
Amewataka wananchi wa Tarime kuendelea kuiamini CCM kama chama pekee kinachotekeleza maendeleo ya kweli kwa Watanzania.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewajibu vikali wanaodai kuwa hakuna kilichofanyika tangu Tanzania ipate uhuru, akisema kuwa kauli hizo zinatokana na kutojua historia ya maendeleo ya nchi.
Akizungumza katika Ofisi ya Makao Makuu ya CCM wilayani Tarime, Mkoa wa Mara, Wasira amesema kuwa maendeleo yaliyofikiwa ni makubwa na yanaonekana wazi, huku akisisitiza kuwa CCM imeendelea kutekeleza maono ya ukombozi wa kisiasa na kiuchumi kutoka kwa vyama vilivyoasisi uhuru wa nchi- TANU na ASP.
"Wapo wanaosema miaka 60 hakijafanyika chochote, lakini ni kwa sababu hawajui wanachokisema. Mimi niliijua Tarime kabla ya uhuru, na leo hii Tarime ni tofauti kabisa. Watu wa Tarime wa sasa wanajua kusoma na kuandika, wana huduma bora za afya, na miundombinu imeimarika," amesema Wasira.
Ameendelea kueleza kuwa serikali ya CCM imeleta mabadiliko makubwa nchini, hasa ndani ya miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan, ikiwamo ujenzi wa madarasa mapya na vituo vya afya vyenye vifaa vya kisasa.
Wasira pia ameikosoa CHADEMA, akidai kuwa chama hicho hakina mshikamano wala ajenda zenye tija kwa wananchi.
"Juzi wamefanya mkutano Dar es Salaam, wamegawana fito. Mmoja kaenda na ya kwake, mwingine kaenda na ya kwake. Hicho ni chama kweli? Halafu wanakuja kuwaambia watu wa Tarime wawapigie kura kwa sababu gani?" amehoji Wasira.
Amewataka wananchi wa Tarime kuendelea kuiamini CCM kama chama pekee kinachotekeleza maendeleo ya kweli kwa Watanzania.
Aendelee kusinzia tu huyu babu.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewajibu vikali wanaodai kuwa hakuna kilichofanyika tangu Tanzania ipate uhuru, akisema kuwa kauli hizo zinatokana na kutojua historia ya maendeleo ya nchi.
Akizungumza katika Ofisi ya Makao Makuu ya CCM wilayani Tarime, Mkoa wa Mara, Wasira amesema kuwa maendeleo yaliyofikiwa ni makubwa na yanaonekana wazi, huku akisisitiza kuwa CCM imeendelea kutekeleza maono ya ukombozi wa kisiasa na kiuchumi kutoka kwa vyama vilivyoasisi uhuru wa nchi- TANU na ASP.
"Wapo wanaosema miaka 60 hakijafanyika chochote, lakini ni kwa sababu hawajui wanachokisema. Mimi niliijua Tarime kabla ya uhuru, na leo hii Tarime ni tofauti kabisa. Watu wa Tarime wa sasa wanajua kusoma na kuandika, wana huduma bora za afya, na miundombinu imeimarika," amesema Wasira.
Ameendelea kueleza kuwa serikali ya CCM imeleta mabadiliko makubwa nchini, hasa ndani ya miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan, ikiwamo ujenzi wa madarasa mapya na vituo vya afya vyenye vifaa vya kisasa.
Wasira pia ameikosoa CHADEMA, akidai kuwa chama hicho hakina mshikamano wala ajenda zenye tija kwa wananchi.
"Juzi wamefanya mkutano Dar es Salaam, wamegawana fito. Mmoja kaenda na ya kwake, mwingine kaenda na ya kwake. Hicho ni chama kweli? Halafu wanakuja kuwaambia watu wa Tarime wawapigie kura kwa sababu gani?" amehoji Wasira.
Amewataka wananchi wa Tarime kuendelea kuiamini CCM kama chama pekee kinachotekeleza maendeleo ya kweli kwa Watanzania.
Ulazima unatokea wapi wakati kuna simu za double line? Labda huko kijijini kwenu ndio kuna ulazima huo.KIla mwenye simu ya touch lazima pembeni awe na burton kiswaswadu je hilo unalizungumziaje!
Unatumiaje simu ya double mjanja mzima!Ulazima unatokea wapi wakati kuna simu za double line? Labda huko kijijini kwenu ndio kuna ulazima huo.
Sioni hata unaongea nini boss, ni wapi nimekuambia mimi ninatumia hiyo double line, na hata nikitumia kuna ubaya gani? Nilichokuambia kuna ulazima gani wa kutumia kiswaswadu wakati kuna double line?Unatumiaje simu ya double mjanja mzima!
Je hizo ndiyo sababu zake za MSINGI tunapaswa kuacha kuchagua Kwa mazoea tichague mtu au chama sahihi chenye uwezo wa kutatua matatizo ya MSINGI ya watanzania kama CCM au CHADEMA watatatua matatizo yetu twende na youote tuangalia uwezo wa mtu tunayemhitaji watanzania Kwa Sasa na sio Bora liende tunapaswa kuwa makini sanaMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewajibu vikali wanaodai kuwa hakuna kilichofanyika tangu Tanzania ipate uhuru, akisema kuwa kauli hizo zinatokana na kutojua historia ya maendeleo ya nchi.