Pre GE2025 Wasira: Watanzania hawana sababu ya kuichagua CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mzee wetu amechoka sana.Natunza heshima yake.
 
Asitupangie tuna sababu tena za msingi kabisa za kuichagua CHADEMA
 

Sawa. Waweke uchaguzi wa huru na haki tuone Watanzania wanataka nini.
 
Aendelee kusinzia tu huyu babu.
 
KIla mwenye simu ya touch lazima pembeni awe na burton kiswaswadu je hilo unalizungumziaje!
Ulazima unatokea wapi wakati kuna simu za double line? Labda huko kijijini kwenu ndio kuna ulazima huo.
 
Unatumiaje simu ya double mjanja mzima!
Sioni hata unaongea nini boss, ni wapi nimekuambia mimi ninatumia hiyo double line, na hata nikitumia kuna ubaya gani? Nilichokuambia kuna ulazima gani wa kutumia kiswaswadu wakati kuna double line?
 
Je hizo ndiyo sababu zake za MSINGI tunapaswa kuacha kuchagua Kwa mazoea tichague mtu au chama sahihi chenye uwezo wa kutatua matatizo ya MSINGI ya watanzania kama CCM au CHADEMA watatatua matatizo yetu twende na youote tuangalia uwezo wa mtu tunayemhitaji watanzania Kwa Sasa na sio Bora liende tunapaswa kuwa makini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…