Wasiwadanganye kwa picha wanazotupia mtandaoni, Watanzania waliokuja Qatar kwa ajili Kombe la Dunia wengi wanaishi kwa shida sana

Bill Lugano

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
1,189
Reaction score
6,450
Toka nimekuja Qatar kwa ajili ya Mapumziko nikitokea Sweden ambako nlipitia kusalimia nikiwa nimetokea Japan kwenye meeting iliyokuwa imeanzia Usa. Nipo hapa Qatar toka tarehe 10 November.

Nabadilisha badilisha Hotel maana sipendi sana mazoea na watu so kuna dada mmoja ambaye yeye huwa namtumia kwa ajili ya kuangalia Hotels nzuri zenye hadhi ya 5 star kila ninapoenda ananipatia list na anafanya bookings kabisa.

Nlikaa Hotel moja na Germans nikawahama walinikwaza na hbr zao za kutaka zungumzia ushoga. Nikakaa Hotel nyingine na Morocco nao nikaona hawana ustaarabu wana makelele sana na mambo mambo mengine.

Ila kitu flani nimekiona kuna watanzania wapo huku... Wanaishi ktk mazingira magumu sana. Watu wanakula milo 3 kwa siku tena sehemu za hovyo tu. Ila wanajipost sana kwenye mitandao. Kuna wawili walinifuata wakitaka niwaalike waje Hotel nliyopo wapige picha. Nilikataa maana mimi huwa sipendi kujionesha kuwa pesa ipo.

Nliwapa pesa tu wakakae Hotel ya 5 star. Hawakwenda wale jamaa. Wakazitumiaje sijui zile pesa. Nakuja ambiwa bado wanaishi Hotel zile zile za bei ya chini. Na kula kwao ni kwa shida sana. Ila wanajipost sana mitandaoni.

Siku nimekutana na Ronaldo hotel nliyokuwepo alinishangaa sana. Nlikuwa the only black in the hotel halafu nimezungukwa na watoto wa Kilatino kama 8 hivi wakibembeleza kupata namba yangu. Ronaldo alijipitisha pitisha mara mbili wamuone. Hata hawakuwa na habari naye.

Akaamua kuja kusalimia na kujitambulisha " Hey i am christian ronaldo" nikamjibu " i am bill lugano nice to know you"

Basi tukamwona ronaldo amesimama tu anashangaa shangaa na wale wadada wapo busy nami ile mbaya. Baadaye akaamua kuondoka.

Ile siku Messi anakosa penalty usiku wake kabla ya siku yenyewe alikuja room (suit) yangu akanikuta nimezungukwa na wadada wa kiarabu na kilatino. Alishangaa sana. Akaomba kuspend sometime nasi akitaka kujua mi ni nani.

Maana hbr zangu zilizagaa sana kuwa kuna bwana mdogo mmoja anaishi kifahari sana hapa Doha Qatar. Messi aliwekeana appointment na demu mmoja wa kiarabu. Hata wakati ule anapiga penalty anasema akili yake haikuwepo pale. Alikuwa anawaza game iishe awahi kwenda spend na yule bint.

Nlijichojifunza watu wengi wanaishi maisha fake sana hasa hawa watu wenu toka TZ? Mapicha picha mengi wanagongea tu kwa watu. Sisi ambao tuna pesa tupo simple sana. Mi ukinicheck tu uso na ngozi unajua huyu jamaa si wa sayari hii. Nimenawiri sana. Si unajua mtu akila mlo kamili kila siku. Siyo nyie mnakula msife.

Sisi wengine tunaishi ili tule vizuri...ndo maana hata hatuoni haja ya kupiga picha wakati wa kula na kupost.

Mi nakwambia nikikuazima uishi maisha yangu ndani ya saa moja tu. Utapiga picha hata wakati unajisaidia haja kubwa ukapost. Watu waone unajisaidia sehemu executive.yaani hamna sekunde wewe hutapiga picha uje chukulia mademu. Kila sekunde utapiga picha.

Tafuteni pesa muache kuishi kwa show off na maigizo sisi wenye pesa tunafanya kweli ndo tunaishi hivyo.
 
Toka nimekuja Qatar kwa ajili ya Mapumziko nikitokea Sweden ambako nlipitia kusalimia nikiwa nimetokea Japan kwenye meeting iliyokuwa imeanzia Usa. Nipo hapa Qatar toka tarehe 10 November.

Nabadilisha badilisha Hotel maana sipendi sana mazoea na watu so kuna dada mmoja ambaye yeye huwa namtumia kwa ajili ya kuangalia Hotels nzuri zenye hadhi ya 5 star kila ninapoenda ananipatia list na anafanya bookings kabisa.

Nlikaa Hotel moja na Germany nikawahama walinikwaza na hbr zao za kutaka zungumzia ushoga. Nikakaa Hotel nyingine na Morocco nao nikaona hawana ustaarabu wana makelele sana na mambo mambo mengine.

Ila kitu flani nimekiona kuna watanzania wapo huku... Wanaishi ktk mazingira magumu sana. Watu wanakula milo 3 kwa siku tena sehemu za hovyo tu. Ila wanajipost sana kwenye mitandao. Kuna wawili walinifuata wakitaka niwaalike waje Hotel nliyopo wapige picha. Nilikataa maana mimi huwa sipendi kujionesha kuwa pesa ipo.

Nliwapa pesa tu wakakae Hotel ya 5 star. Hawakwenda wale jamaa. Wakazitumiaje sijui zile pesa. Nakuja ambiwa bado wanaishi Hotel zile zile za bei ya chini. Na kula kwao ni kwa shida sana. Ila wanajipost sana mitandaoni.

Siku nimekutana na Ronaldo hotel nliyokuwepo alinishangaa sana. Nlikuwa the only black in the hotel halafu nimezungukwa na watoto wa Kilatino kama 8 hivi wakibembeleza kupata namba yangu. Ronaldo alijipitisha pitisha mara mbili wamuone. Hata hawakuwa na habari naye.

Akaamua kuja kusalimia na kujitambulisha " Hey i am christian ronaldo" nikamjibu " i am bill lugano nice to know you"

Basi tukamwona ronaldo amesimama tu anashangaa shangaa na wale wadada wapo busy nami ile mbaya. Baadaye akaamua kuondoka.

Ile siku Messi anakosa penalty usiku wake kabla ya siku yenyewe alikuja room yangu akanikuta nimezungukwa na wadada wa kiarabu na kilatino. Alishangaa sana. Akaomba kuspend sometime nasi akitaka kujua mi ni nani.

Maana hbr zangu zilizagaa sana kuwa kuna bwana mdogo mmoja anaishi kifahari sana hapa Doha Qatar. Messi aliwekeana appointment na demu mmoja wa kiarabu. Hata wakati ule anapiga penalty anasema akili yake haikuwepo pale. Alikuwa anawaza game iishe awahi kwenda spend na yule bint.

Nlijichojifunza watu wengi wanaishi maisha fake sana hasa hawa watu wenu toka TZ? Mapicha picha mengi wanagongea tu kwa watu. Sisi ambao tuna pesa tupo simple sana. Mi ukinicheck tu uso na ngozi unajua huyu jamaa si wa sayari hii. Nimenawiri sana. Si unajua mtu akila mlo kamili kila siku. Siyo nyie mnakula msife.

Sisi wengine tunaishi ili tule vizuri...ndo maana hata hatuoni haja ya kupiga picha wakati wa kula na kupost.

Mi nakwambia nikikuazima uishi maisha yangu ndani ya saa moja tu. Utapiga picha hata wakati unajisaidia haja kubwa ukapost. Watu waone unajisaidia sehemu executive.yaani hamna sekunde wewe hutapiga picha uje chukulia mademu. Kila sekunde utapiga picha.

Tafuteni pesa muache kuishi kwa show off na maigizo sisi wenye pesa tunafanya kweli ndo tunaishi hivyo.
It's ego is talking inside you but in reality isn't you.
 
Yeah inabidi tukubali tu mzee wangu maana ww ndo umeandika kwann tuanze kubisha kua hauna mkwanja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ww jamaa nikona post yako naisoma huku nacheka sana maana kama mtu ana roho ya kukunja mtandaoni basi unamkera sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

All in all unanifurahisha sana bill lugano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom