Wasiwadanganye kwa picha wanazotupia mtandaoni, Watanzania waliokuja Qatar kwa ajili Kombe la Dunia wengi wanaishi kwa shida sana

Sema chumvi ni nyingi haijanoga kama zile za zamani za ID ya kidukuLilo zile zilikuwa unatoa kamba ambazo mwisho wa siku mtu ni lazima akae chini kwa kicheko na tabsamu
 
Hahahahaaa
 
Toka nimekuja Qatar kwa ajili ya Mapumziko nikitokea Sweden ambako nlipitia kusalimia nikiwa nimetokea Japan kwenye meeting iliyokuwa imeanzia Usa. Nipo hapa Qatar toka tarehe 10 November.
..🤔🤔...
...🚶..hii chai imepoa
 
Green label imekolea
 
Huna lolote we mswahili ambaye matako yanalia mbwata.
Kina Elon Musk unawapa kinyaa.
 
unasikitisha sana ulivyojichimbia mbagala na kuandika hii story..pole sana.
 
Ukute tecno pop1 ipo mkononi ikiwa imepigwa rubber band ili chaji iingie, upande mwingine kuna bakuli kubwa la kiporo cha kande halafu mwamba anatiririka tu yaliyo katika matamanio yake. Na hii ndio faraja ya mitandao, kuishi kwa nadharia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…