Wasiwadanganye kwa picha wanazotupia mtandaoni, Watanzania waliokuja Qatar kwa ajili Kombe la Dunia wengi wanaishi kwa shida sana

Afu ukute kuna watu wameisoma hii thread mpk mwisho afu wanaweza kuja kwny comment kutukana
 
Manunu ........unatatizo la afya ya akili
 
Bill lugano karudi😂😂😂 aka kidukulilo
 
Tajiri billi lugano akiwa kazungukwa na totoz za kilatino
 
bill lugano ni kama bill gates tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hivivtajir anapata wapi muda wa kushusha gazeti namna hiyo..wooii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…