Wasiwadanganye kwa picha wanazotupia mtandaoni, Watanzania waliokuja Qatar kwa ajili Kombe la Dunia wengi wanaishi kwa shida sana

Nimeishia kusoma hapo "siku nlipokutana na Ronaldo"
 
Asante kwa story
ukitoka usingizini uje tena kutusimulia maisha yako halisiya Bongo
 
We dogo konyo sana una shobo kinyama.
 
Si afadhali hao wanao post picha. Wewe una post porojo.

Wanadanganya kwa picha na wewe ndiyo worst unadanganya kwa maneno!

what a stupid way to waste yours and others time?!!
Mbaya zaidi yupo hapo kwa Bi Nyau.
 
Nilipoona tu habari za kuhama hoteli nkanunua kabisa maandazi ya AF tatu maana hii chai ya leo ya moto sana 😂😂
 


CHAI YA MAZIWA HII
 

Part II ITAENDELEA

Alivyokutana na Neymar na Morgan Freeman akamuomba fegi...
 

Hakuna mzungu anayepiga story za Ushoga hadharani au kama unavyosema wewe! Huo ni ulimbukeni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…