Wasiwadanganye kwa picha wanazotupia mtandaoni, Watanzania waliokuja Qatar kwa ajili Kombe la Dunia wengi wanaishi kwa shida sana

Makabila madogo madogo haya ni matatizo sana
 
Nimeishia pale kwenye sentence unayosema umekutana na Ronaldo ngoja nikachukue vitafunwa nije kunywa chai.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Duh umetisha sana Don Bill Lugano!

Wabongo sisi maskini watupu ila kelele zetu na mbwembwe zetu za vijisent zinafika hadi Mars!

Hizi ni sindano za moto!!

Mengi umesema true true true gudi gudi gudi beauty beauty beauty!

Big up Man
 

Ila we kaka ni muongo [emoji23][emoji23][emoji23]sijawah ona aisee
 

Ushashiba ugali tembele huko unaanz kudanganya watu [emoji23]
 
Huyu jamaa muongo mtupu Pesa inatabia ya kuongea yenyew kwann ww hujitangaze halafu kwa ushamba wako maisha ya christiano unayafananisha na yako duu na mess naye anakuomba usipend nae labda umpe tako...
 

Bill Lugano hivi Kiduku killo aliendaga wapi?
@Bill Lugano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…