Wasiwasi wangu juu ya mradi wa Maabara ya akili bandia iliyozinduliwa UDOM

Hapa wameona kuna pesa mahali kutoka hama serikalini au kwa wafadhiri a.k.a mabeberu so kitengo kimeanzishwa ili kuzikamata hizo pesa.

Walioanzisha hii kitu bado hawajawapa nafasi ya kutosha "hasa" ikiwa ni pamoja na kuenea mahali pote wanapoweza kuwajibika ilihali tayari AI wapo na wanatumika hata sasa duniani kote.

Tayari kwa visa vichache kutoka huko walipoanzisha wazo na hatimaye kuwa kweli hao AI wameonekana kuwa tishio kwa mustakabali wa real human life, kabla ya yote kama una bundled tuangalie hii sinema hapa chini.

Ni madhara kama ya covid japo huwezi kuyaona kwa karibu.

Duh Hizi tafsiri nyingine sio Kabisa.., Sasa Akili Bandia ndio nini ? Wala haiakisi neno Artificial Intelligence
 
Hata hiyo ni ajira vilevile.
Kwa kiswahili hichi haitokuwa sahihi kabisa kuitumia hii lugha kwenye mfumo wa elimu, au mambo yatazidi kuwa magumu zaidi.
 
Chuo kikuu cha Dodoma( kwa kushirikiana na Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela wamezindua Mradi wa Maabara ya akili Bandia (Artificial Intelligence) kwa Maendeleo ya Afrika

Mradi huu ni kama wa matumizi ya roboti ambao utalenga kutengeneza mashine ambazo zitakuwa zinafanya kazi za kutumia akili kama binadamu.

Mradi umezinduliwa na naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia Mhe. Mohammed Khamis katika ukumbi wa mikutano Ndaki ya Sayansi za Kompyuta na Elimu Angavu

Hongera sana udom kwa jambo hilo kubwa kwenye teknologia ya sasa

Lakini wasiwasi wangu hadi nikaandika huu uzi

Je, haya mambo ya robotics hayatamaliza kabisa Ajira hata hizi chache zilizopo
Maan kama kitu kitaweza kufanya kazi kama binadamu maanake sasa kazi nyingi zitafanywa na robot
Au hii imekaaje wadau.
Ile ni lab ya kufanya utafiti. Sio kiwanda cha kuzalisha roboti moja kwa moja.
 
Tanzania na robotics/AI bado sana....wala usiwe na wasiwasi juu ya ajira...
kuwafikia japan labda mwaka 3000 dawa za meno tu zimetushinda itakua ma robot ha ha ha ha au kufufua kiwanda cha mataili cha general tyre kimetushinda
 
, haya mambo ya robotics hayatamaliza kabisa Ajira hata hizi chache zilizopo
Maan kama kitu kitaweza kufanya kazi kama binadamu maanake sasa kazi nyingi zitafanywa na robot
Au hii imekaaje wadau
Kasome kitabu cha The 4th industrial revolution kinasema mwanadamu ana uwezo mkubwa wa kucope na mabadiliko ya mfumo. Mfano walipoacha kutumia watumwa kuzalisha na kuhamia kwenye viwanda watu walidai ajira zitapotea lakini haikua hivyo so hata teknolojia itatengeneza fursa nyingine hasa service sector maana IT platforms zinahitaji maintenance, Data scientists ku feed in big data kwenye robotics for machine learning, huwezi kuikwepa human intelligence kwenye mfumo mzima wa robotics.

So hakuna ajira itapotea bali watu watajiswitch kuishi sawa sawa na mazingira. Fikiria watu wanaishi majangwani hakuna maji wala miti ila wana survive tokea karne na karne so tupo flexible kuliko unavyodhani.

Cc MALCOM LUMUMBA
 
Kama ule UTI WA MGONGO tu bado hadi leo tuna kukuruka na jembe la mkono yaani unawaza kukosa ajira kwa hayo makitu mkuu?
 
Kuna mahali nilisoma ya kwamba Computer haiwezi ku 'operate' yenyewe yaani ikawa inajitegemea kwa kila kitu. Kuna wataalamu wanaandaa mfumo (Operating System) ambayo inakuwa na kazi ya kutoa maagizo ambayo kompyuta inabidi iyafuate.

Kuna watu wanakaa na kuandaa hizo 'instructions' kwakutumia lugha mahsusi kwa ajili ya masuala ya Kompyuta (Programming Language).

Na hata itokee vipi, kompyuta ikikumbwa na jambo ambalo ndani ya hiyo 'instructions' halipo haitaweza kufanya jambo lolote lile.

Sasa kuhusu hiyo Akili bandia ama Artificial Intelligence kama inavyofahamika kwa Kiingereza, nayo inaandaliwa na watu wanaoandaa 'instructions' na kuzitumia kuendesha mitambo yao au hizo 'robbots' kama ulivyoandika hapo juu.

AI ina gharama kubwa mno, badl AI haitaweza kuchukua kazi za mama muuza mboga katika soko la Tandale au Mbalizi jijini Mbeya. Watakaoweza ku 'afford' hiyo teknolojia ni wachache na hata upoteaji wa ajira ambazo zitadakwa na hii teknolojia ya AI ni chache mno.

Sorry out of topic🤠
Kwani Tanzania kuna kampuni yoyote ya kutunza data ambayo ni ya watu binafsi?
 
Sorry out of topic[emoji1783]

Ooh asante umenitoa waswas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh hapan sidhan kama iyo kampuni ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom