Mkuu temporarily unafuga kuku immediate ukimaliza Tu Chuo. Ukianza na kuku 200 wa chotara kununua ni 300,000 unalisha miezi 5-6 wanataga au wakifikisha miezi 4 unauza mmoja 10,000. Ukiondoa say vifo 10 then Una kuku 190×10,000= 1,900,000 ukiondoka na matumizi mengine then hukosi Faida 600,000 mpaka 1m. Ukifuga round 3 unapata mtaji unanunua vifaa vyako IT unasonga na unaweza pia ukaendekea na ufugaji taratibu mpaka upate mtaji wa kutosha . Hivyo hata Madaktari ukisubiri Ajira fuga au do a simple business. Ime work kwa watu ninaowafahamu.