Taa za kuongozea magari barabarani nayo ni maroboti mkuu.Watutengenezee askari wa usalama barabarani.
Ile ni lab ya kufanya utafiti. Sio kiwanda cha kuzalisha roboti moja kwa moja.Chuo kikuu cha Dodoma( kwa kushirikiana na Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela wamezindua Mradi wa Maabara ya akili Bandia (Artificial Intelligence) kwa Maendeleo ya Afrika
Mradi huu ni kama wa matumizi ya roboti ambao utalenga kutengeneza mashine ambazo zitakuwa zinafanya kazi za kutumia akili kama binadamu.
Mradi umezinduliwa na naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia Mhe. Mohammed Khamis katika ukumbi wa mikutano Ndaki ya Sayansi za Kompyuta na Elimu Angavu
Hongera sana udom kwa jambo hilo kubwa kwenye teknologia ya sasa
Lakini wasiwasi wangu hadi nikaandika huu uzi
Je, haya mambo ya robotics hayatamaliza kabisa Ajira hata hizi chache zilizopo
Maan kama kitu kitaweza kufanya kazi kama binadamu maanake sasa kazi nyingi zitafanywa na robot
Au hii imekaaje wadau.
Kiswahili kina misamiati michache. Linaweza liwepo neno lakini watu wasielewe kabisa. Bora hiyoJina bandia linapoteza maana halisi ya artificial intelligence.
kuwafikia japan labda mwaka 3000 dawa za meno tu zimetushinda itakua ma robot ha ha ha ha au kufufua kiwanda cha mataili cha general tyre kimetushindaTanzania na robotics/AI bado sana....wala usiwe na wasiwasi juu ya ajira...
Nadhani akili igizo ni sahihi kuliko akili bandia.
Kasome kitabu cha The 4th industrial revolution kinasema mwanadamu ana uwezo mkubwa wa kucope na mabadiliko ya mfumo. Mfano walipoacha kutumia watumwa kuzalisha na kuhamia kwenye viwanda watu walidai ajira zitapotea lakini haikua hivyo so hata teknolojia itatengeneza fursa nyingine hasa service sector maana IT platforms zinahitaji maintenance, Data scientists ku feed in big data kwenye robotics for machine learning, huwezi kuikwepa human intelligence kwenye mfumo mzima wa robotics., haya mambo ya robotics hayatamaliza kabisa Ajira hata hizi chache zilizopo
Maan kama kitu kitaweza kufanya kazi kama binadamu maanake sasa kazi nyingi zitafanywa na robot
Au hii imekaaje wadau
Japo tafsiri sahihi sio ya neno kwa neno; tafsiri sahihi ya intelligence ni ipi? Nadhani intelligence ni zaidi ya akili.
Waziri alisema SGR itakuja na majenereta kma umeme utakatika, nchi hii ngumu sana😂😂😂Teknolojia yenyewe hafifu!! Badala ya kukomaa na mambo ya msingi tunarukia vitu tusivyoviweza abadani
Kila kitu kimekadirwa riziki yake hapa duniani
Sawa sawaFursa zipo nyingi Endelea kupambana, robot pia anahitaji kuwa oparated
Lazima tujaribu kuanza kidogo kidogoTeknolojia yenyewe hafifu!! Badala ya kukomaa na mambo ya msingi tunarukia vitu tusivyoviweza abadani
Ooh asante umenitoa waswasKuna mahali nilisoma ya kwamba Computer haiwezi ku 'operate' yenyewe yaani ikawa inajitegemea kwa kila kitu. Kuna wataalamu wanaandaa mfumo (Operating System) ambayo inakuwa na kazi ya kutoa maagizo ambayo kompyuta inabidi iyafuate.
Kuna watu wanakaa na kuandaa hizo 'instructions' kwakutumia lugha mahsusi kwa ajili ya masuala ya Kompyuta (Programming Language).
Na hata itokee vipi, kompyuta ikikumbwa na jambo ambalo ndani ya hiyo 'instructions' halipo haitaweza kufanya jambo lolote lile.
Sasa kuhusu hiyo Akili bandia ama Artificial Intelligence kama inavyofahamika kwa Kiingereza, nayo inaandaliwa na watu wanaoandaa 'instructions' na kuzitumia kuendesha mitambo yao au hizo 'robbots' kama ulivyoandika hapo juu.
AI ina gharama kubwa mno, badl AI haitaweza kuchukua kazi za mama muuza mboga katika soko la Tandale au Mbalizi jijini Mbeya. Watakaoweza ku 'afford' hiyo teknolojia ni wachache na hata upoteaji wa ajira ambazo zitadakwa na hii teknolojia ya AI ni chache mno.
Sorry out of topic[emoji1783]
Kwani Tanzania kuna kampuni yoyote ya kutunza data ambayo ni ya watu binafsi?
Mmh hapan sidhan kama iyo kampuni ipoKuna mahali nilisoma ya kwamba Computer haiwezi ku 'operate' yenyewe yaani ikawa inajitegemea kwa kila kitu. Kuna wataalamu wanaandaa mfumo (Operating System) ambayo inakuwa na kazi ya kutoa maagizo ambayo kompyuta inabidi iyafuate.