Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Taarifa za vyombo vya usalama pamoja na vya habari vinaeleza kuwa wasiwasi umetawala maeneo mengi nchini humo, hii ni kutokana na wananch kukosa subira na matokeo yanayojumuishwa katika eneo la Bomas, hata hivyo tume ya taifa ya uchaguzi na mipaka imesema matokeo yote yataanza kujumuishwa upya!