Wasiwasi watawala sehemu nyingi kenya

Wasiwasi watawala sehemu nyingi kenya

Status
Not open for further replies.

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,663
Taarifa za vyombo vya usalama pamoja na vya habari vinaeleza kuwa wasiwasi umetawala maeneo mengi nchini humo, hii ni kutokana na wananch kukosa subira na matokeo yanayojumuishwa katika eneo la Bomas, hata hivyo tume ya taifa ya uchaguzi na mipaka imesema matokeo yote yataanza kujumuishwa upya!
 
Kama umeipata habari kwa kina iweke kwa kina, unaacha maswali kama
1. Wasiwasi wa nini ?
2. Kuhesabu kura upya kwa nini ?
3. Vyombo vya usalama vya wapi na vimejuaje ? n.k
 
Taarifa za vyombo vya usalama pamoja na vya habari vinaeleza kuwa wasiwasi umetawala maeneo mengi nchini humo, hii ni kutokana na wananch kukosa subira na matokeo yanayojumuishwa katika eneo la Bomas, hata hivyo tume ya taifa ya uchaguzi na mipaka imesema matokeo yote yataanza kujumuishwa upya!
Toa uchuro wako hapa
hapo ulipo kuna umeme?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom