Wasiwasi wazuka Yanga kuhusu Joseph Guédé Gnado na Miguel Gamondi

Ukisikia pumba ndizo hizi sasa Waulize wale Waalgeria goli la NNE alifunga nani halafu waulize Simba walikuta tano kutoka kwa kocha gani.
Hata mzize angefunga lile Goli
 
Hatimupangii matumizi ya bando lako, lakini jitahidi usilitimie kuandika upuuzi.
 
this should be checked. watu tunaona

today Azam vs yanga . Guede was useless and yet he played . all signs comes to live
 
Daah Guede mpira anajua ila kwa kuwa haujui mpira unadhani ni kama kupanda baiskeli tu kwamba akisajiliwa leo kesho kutwa aanze kufunga tu ili ninyi msiojua mpira mjue mtu ana kiwango...
upo serious still
 
upo serious still
Yap mkuu mpira una mambo mengi sio leo mchezaji aje na aanze kuwa tishio huyo Key alikua anakaa Benchi kawika sana msimu huu wapo wahasibu feki waliwahi kuona Yanga wamepata hasara,Yanga waliwahi kwenda kumnunua Beki afcon huko huku Bacca akikaa benchi alipopata nafasi mara kwa mara msimu huu wamemuongezea na Mshahara nimekupa mifano ya Wachezaji wa Yanga ili uelewe zaidi kama haujaelewa hapo piga chini tuu...
 
ki mpira upo kitambo, sema sure.
we need to develop our players.
but a good players will be seen in a few matches. guede is not that player. he cant improve beyond that. age and everything is against him, speed is lacking too. so sina hopes na guede
 
ki mpira upo kitambo, sema sure.
we need to develop our players.
but a good players will be seen in a few matches. guede is not that player. he cant improve beyond that. age and everything is against him, speed is lacking too. so sina hopes na guede
Upo sahihi tatizo tumeweka mstari Guede acheze kama Mayele kitu ambacho hawezi kumfikia kutokana na sababu ulizotaja ila sio mchezaji wa kubezwa maana control anayo na pia anaweza kuficha mpira hapotezi pass kirahisi ila mafanikio ni ishu ingine mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…