Wasomali na Midomo yao, haifungi!

Wasomali na Midomo yao, haifungi!

Huyu hapa mdomo umefunga vizuri tu....

1660158880671.png
 
Hivi ni mimi tu labda au kuna mwingine aliyeliona hili kwa Wasomali na midomo yao kwamba haifungi, yaani saa zote meno ya mbele yanaonekana na ni wote, hata kama akifunga mdomo ni lazima meno ya mbele utayaona, …
Ndio maumbile yao, na kwa mtazamo mwingine ni miujiza ya Mungu. Anakuumba kulingana na mazingira yako, Sasa sijui wasomaji (baadhi) wahenga wao waliishi mazingira gani, wakaumbwa hivyo.
Ukiangalia waafrika wengi miguu ni myembama, ila sehemu za makalio zimejaa, ilhali wazungu wengi ni wembamba ila miguu imejaza. Nafikiri ni mazingira ya asili zetu.
 
Back
Top Bottom