Wasomali wana nia ya kuinyakua Kenya kwa kuzaliana?

Wasomali wana nia ya kuinyakua Kenya kwa kuzaliana?

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Wasomali wamejipanga Kufikia 2050 kenya itakua somalia au itaongozwa na wasomali kwene kila nyanja.
Na itadi yao inaongezeka. Wana kauli yao ya kusema: “Nyie kazaneni na siasa sisi tunakazana kitandani”

Asante kwa mbinu zao za kuzaliana naona zina leta matunda.

8425814C-810A-42DB-9F7D-0AFABD54BE14.png
 
Mimi ninachoamini dunia ni moja, Africa ni moja na itafika wakati kwa vizazi vijavyo hii mipaka itajikuta haina maana, maana ni kama inamanufaa ya kisiasa zaidi, itafika wakati binadam watahitaji kuwa hiru zaidi ndani ya hii dunia watu watahisi mipaka inawachelewesha hivyo wataweka sheria zitazoondoa vikwazo vyote vya mipaka.
 
Hamna huo wakati ni ww na akili yako

Mipaka ipo kwa ajili ya watawala
bila mipaka hamna utawala bila utawala hamna binadam
Binadam hawez ishi bila utawala
 
wasomali wamejipanga Kufikia 2050 kenya itakua somalia au itaongozwa na wasomali kwene kila nyanja.
Na itadi yao inaongezeka.
Wana kauli yao ya kusema:
“Nyie kazaneni na siasa sisi tunakazana kitandani”

Asante kwa mbinu zao za kuzaliana naona zina leta matunda.

View attachment 3100438
Not with hayo makabila yakiwa juu, hayo makabila mawili ndio native kenyans, by 2050 kikuyu ,lunya,kalenjin bado wataendelea kuwepo so it wont be that simples
 
Wakishakua wengi ndo inawawezesha kuchukua serikali
si unaelewa democrasia majority rule majority vote.

hapo wakikuyu watalipa kodi kwa msomali
Hawataweza maana wao watabaki kuwa wasomali hao wakenye wakiungana mkikuyu,mkalenji na mluya ikulu inabaki Yao Kila siku na hapo hawajamuongeza na mkamba tuseme mluo awe amegoma
 
Unaogopa kivuli chako. Wasomali wapo zaidi ya milioni 2 wanakutia kiwewe na kuna jamii zina idadi zaidi ya milioni 6 na zingine milioni 4.
Kinachokusumbua ni wivu wa kimaendeleo unaosababishwa na hao wachapakazi.
Wame challenge wahindi na wakikuyu kwenye biashara Kenya.
Wasomali Kenya wana haki sawa na wajibu sawa na makabila mengine.
 
Back
Top Bottom