Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
- Thread starter
- #21
Wasomali wana maendeleo gani??Unaogopa kivuli chako. Wasomali wapo zaidi ya milioni 2 wanakutia kiwewe na kuna jamii zina idadi zaidi ya milioni 6 na zingine milioni 4.
Kinachokusumbua ni wivu wa kimaendeleo unaosababishwa na hao wachapakazi.
Wame challenge wahindi na wakikuyu kwenye biashara Kenya.
Wasomali Kenya wana haki sawa na wajibu sawa na makabila mengine.
Wasomali hela nyingi wanazizalisha kutokana na shughuli za ugaidi, uhalamia wa baharini,Uetekaji nk
Wakishapata izo hela ndio wanapeleka kenya kuzungushia kwene biashara au kuzitakatisha , zingine wanapeleka south Africa.
Eti wachapakazi!
Ebu tulia we kijakazi