Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Ndio mpango labda tuwaulizeKwanini?
kufanyajeRuksa tuu
Wakishakua wengi ndo inawawezesha kuchukua serikaliKisha wakishafanya hayo yote wataijenga Kenya Wala sio somali
Watazaana na kulipa Kodi kwa mkikuyu
Hamna huo wakati ni ww na akili yakoMimi ninachoamini dunia ni moja, Africa ni moja na itafika wakati kwa vizazi vijavyo hii mipaka itajikuta haina maana, maana ni kama inamanufaa ya kisiasa zaidi, itafika wakati binadam watahitaji kuwa hiru zaidi ndani ya hii dunia watu watahisi mipaka inawachelewesha hivyo wataweka sheria zitazoondoa vikwazo vyote vya mipaka.
Not with hayo makabila yakiwa juu, hayo makabila mawili ndio native kenyans, by 2050 kikuyu ,lunya,kalenjin bado wataendelea kuwepo so it wont be that simpleswasomali wamejipanga Kufikia 2050 kenya itakua somalia au itaongozwa na wasomali kwene kila nyanja.
Na itadi yao inaongezeka.
Wana kauli yao ya kusema:
“Nyie kazaneni na siasa sisi tunakazana kitandani”
Asante kwa mbinu zao za kuzaliana naona zina leta matunda.
View attachment 3100438
sasa kama hufuatilii utasikiajewapi wamesema hivyo???
Illigal migrantsNot with hayo makabila yakiwa juu, hayo makabila mawili ndio native kenyans, by 2050 kikuyu ,lunya,kalenjin bado wataendelea kuwepo so it wont be that simples
Hawataweza maana wao watabaki kuwa wasomali hao wakenye wakiungana mkikuyu,mkalenji na mluya ikulu inabaki Yao Kila siku na hapo hawajamuongeza na mkamba tuseme mluo awe amegomaWakishakua wengi ndo inawawezesha kuchukua serikali
si unaelewa democrasia majority rule majority vote.
hapo wakikuyu watalipa kodi kwa msomali
wataunganaje wakat nchi inaendeshwa kikabilaHawataweza maana wao watabaki kuwa wasomali hao wakenye wakiungana mkikuyu,mkalenji na mluya ikulu inabaki Yao Kila siku na hapo hawajamuongeza na mkamba tuseme mluo awe amegoma
Sawa ila mimi naamini hivyo kiwa dunia ni moja na ipo siku itatawaliwa na mtu mmoja na vikwazo vya mipaka havitakuwepo hii mipaka ni kwa sababu za kisiasa tu.Hamna huo wakati ni ww na akili yako
Mipaka ipo kwa ajili ya watawala
bila mipaka hamna utawala bila utawala hamna binadam
Binadam hawez ishi bila utawala
kufanyaje
yaan wwKichwa cha habari cha husika.