Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
- Thread starter
-
- #21
Wasomali wana maendeleo gani??Unaogopa kivuli chako. Wasomali wapo zaidi ya milioni 2 wanakutia kiwewe na kuna jamii zina idadi zaidi ya milioni 6 na zingine milioni 4.
Kinachokusumbua ni wivu wa kimaendeleo unaosababishwa na hao wachapakazi.
Wame challenge wahindi na wakikuyu kwenye biashara Kenya.
Wasomali Kenya wana haki sawa na wajibu sawa na makabila mengine.
inakujaHiyo haitakaa itokee hata siku moja
Ili mradi umesema unaamini ni ngumu kujadili jambo unaloliamini ww maana wengine hatuamini.Sawa ila mimi naamini hivyo kiwa dunia ni moja na ipo siku itatawaliwa na mtu mmoja na vikwazo vya mipaka havitakuwepo hii mipaka ni kwa sababu za kisiasa tu.
Duh kumbe hadi Kenya kuna waarabu kama huku 🤔wasomali wamejipanga Kufikia 2050 kenya itakua somalia au itaongozwa na wasomali kwene kila nyanja.
Na itadi yao inaongezeka.
Wana kauli yao ya kusema:
“Nyie kazaneni na siasa sisi tunakazana kitandani”
Asante kwa mbinu zao za kuzaliana naona zina leta matunda.
View attachment 3100438
Hoja inatokana na imaniIli mradi umesema unaamini ni ngumu kujadili jambo unaloliamini ww maana wengine hatuamini.
Kama ni hoja bas tungejadili lakin kama ni imani tutajadili nn sasa hapo
Hapana hoja inatokana na fact au trend au reality.Hoja inatokana na imani
Duh huku Tanzania wamejaaHawa wakosa ardhi wanatapa tapa kila kona kupora ardhi
Patamu hapo.wasomali wamejipanga Kufikia 2050 kenya itakua somalia au itaongozwa na wasomali kwene kila nyanja.
Na itadi yao inaongezeka.
Wana kauli yao ya kusema:
“Nyie kazaneni na siasa sisi tunakazana kitandani”
Asante kwa mbinu zao za kuzaliana naona zina leta matunda.
View attachment 3100438
Ungeweka na LGBTQ wapo wangapi Kenya?wasomali wamejipanga Kufikia 2050 kenya itakua somalia au itaongozwa na wasomali kwene kila nyanja.
Na itadi yao inaongezeka.
Wana kauli yao ya kusema:
“Nyie kazaneni na siasa sisi tunakazana kitandani”
Asante kwa mbinu zao za kuzaliana naona zina leta matunda.
View attachment 3100438
hilo si kabilaUngeweka na LGBTQ wapo wangapi Kenya?
hatarPatamu hapo.
Kwan kuteka sio kuchapa kazi? Kuna plan before kidnapping na plan implementation kwahyo wapo kazini vijana.Wasomali wana maendeleo gani??
Wasomali hela nyingi wanazizalisha kutokana na shughuli za ugaidi, uhalamia wa baharini,Uetekaji nk
Wakishapata izo hela ndio wanapeleka kenya kuzungushia kwene biashara au kuzitakatisha , zingine wanapeleka south Africa.
Eti wachapakazi!
Ebu tulia we kijakazi
Ndo maana wakenya wanahofu kwasabab si watu wazuriKwan kuteka sio kuchapa kazi? Kuna plan before kidnapping na plan implementation kwahyo wapo kazini vijana.
mkikuyu kashakufa kisiasaMkikuyu hatakubali.
Wana umoja lakin wameshindwa kuishi pamoja nchini mwaoWasomali ni born hustlers, wako very aggressive kwenye kutumia fursa, biashara wao ni maisha Yao, mtandao wao ni mpana sana hasa katika suala zima la exposure na wanafahamu Giza na Nuru, wana umoja wa kibrotherhood...
Lazima tujifunge mkanda Ili baadae tuishi vizuri.
Watu wanashindwa kuelewa kati ya umoja na ubaguzi, kiuhalisia binadam huwa ana asili ya ubaguzi sasa hawa wenzetu ubaguzi umewazidi wakiwa wenyewe kwenye nchi yao wanakosa wakumbagua hivyo inawabidi wabaguane wao kwa wao ili nafsi zao ziridhike, ila wakiwa nje ya kwao wanaungana ili kuwabagua wenyeji hii ni tabia mbaya sana ashukuriwe Mwl. Nyerere hii roho huku kwetu aliiondoa yaani Tz unaweza ishi na mtu kutoka kabila lolote au pande zozote za nchi bila hata kujua kabila lake na mkawa mnapiga story na mitikasi mingine kama kawaida.Wana umoja lakin wameshindwa kuishi pamoja nchini mwao
Nadhan huelewi unachosema ww
Kabila moja
dini moja
lugha moja
Na bado wameshindwa kuishi pamoja kwene nchi yao! Hapakaliki
Ebu peleka huu upumbavu kwa asiyewajua wasomali